@tonymaster01 To control $200–300+ billion, you usually need:
Large global businesses
Public market exposure
Massive infrastructure
And those are hard to keep invisible.
@tonymaster01 Realistically:
It’s possible someon extremely wealthy exists outside public rankings.
But being richer than Elon Musk (hundreds of billions of dollars) would require ownership of enormous assets.
It is very dificult to hide wealth on that scale in today’s global financial system.
@rollymsouth . Tungepiga kelele upande wa gharama zipunguzwe bila kuathiri mapato ya serikali ambayo ni muhimu sana kwa utoaji wa huduma na kugharamia miradi muhimu
@rollymsouth Nadhani badala ya kukomaa na upande wa tozo, tungeangalia upande wa gharama za watoa huduma, maana mtu anayetoa milioni 3 kuendelea anakatwa na mtandao hadi elfu 10, hii sio tozo ni gharama iliyowekwa na watoa huduma wanaotengeneza super normal profit
@FKihamu Tukisema alipe tu, itakua ni tabia kwa wengine akipata donge nono analipa huku anaenda kule... dawa ya kukomesha ukiukwaji wa mikataba ni kumfungia kucheza hata misimu mi 2 au mi 3... hapo mchezaji ataona risk iliyopo na ataheshimu mikataba
@_Maxmilianjohn Hivi ni yupi anayeharibu jamii kati ya anayefanya haya huko mahotelini na anayetuletea mitandaoni? Maana yangefanyika huko yakaachwa huko nafhani tungehifadhi maadili ya jamii