@ccm_tanzania Hata siamini kama anaweza kusema hivi ni rais wetu! Machinga mmewabomolea na walio fukuzwa kazi kwa kigezo cha cheti fyeki mmewaondoa wenyewe nyie mnalipwa mishaara kwann msiache kazi mjiajiri ingali mitaji mmeshapata? Watu kama kina mkuchika bado wamegandia kwenye ajira kwanini?
"#Tanzania has long been an important partner in East Africa, but the country's recent democratic backsliding, political violence and repression cannot be ignored." @SFRCdems
https://t.co/QQlskSZPCc #FreeTunduLissu
Watanzania, dunia haijachoka na wala haijalala, haiwezi kuvumilia unyama na ukiukwaji wa haki za binadamu uliotokea Tanzania. Muda sio mrefu mtasikia kishindo kutoka USA. Hizi ni rasharasha tu. Mambo makubwa yapo kwenye pipeline.
Nipo na begi la maamuzi magumu. Yajayo yanafurashisha
#TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
🚨🇹🇿 If Tanzania’s government thought it could disregard Congress’s warnings over its post-election crackdown, they just sent a louder message. Best they pay closer attention.
“A new bipartisan bill would direct President Donald Trump’s administration to undertake a dramatic overhaul of the US relationship with Tanzania…” via @SemaforAfrica
https://t.co/plReqjUiC1
@DanyeMufasa Uzuri hakukataa hata moja maana alikubali alikua nairobi na kina msuya alikubali alipewa chumba na msabaha amekubali wamesafiri nae km 150 kwa kifupi buyobe na mzee wa ford lao moja
@fbuyobe Kikatuni tuhuma zilianza hivi hivi baadae akaja akajitambulisha kabisa kwamba yeye anao uhakika kwamba kuna pesa zinalipwa na ford foundation na hadi sasa tume yenu imehalisha hizo pesa za fodi so na wewe kua miongoni mwao it obvious hata mbowe ilituchukua muda kugundua anatuuza
@fbuyobe i may agree with u but not 100%..nitajipa mda kidogo huenda mengi yakajitokeza yenye kutia mashaka..ULIWAHI KUFIKIRI KWAMBA KUNA KIPINDI MBOWE ATAIOGOPA CHADEMA?AU ATAJITENGA NA CHADEMA?
@Sativa255 Kwenye huu mtandao wale wote walioungana na ccm kutaka mbowe aendelee kuwa mwenyekiti cdm ni wamoja na wanachukua ujira sehemu tofauti tofauti..tutawajua mmoja baada ya mwingine ni swala la muda tu
@lifeofmshaba Kuna namna inabidi tumuokoe lisu mapema kutoka kwa hawa wananyanganyi..tuanzishe vuguvugu la kuandamana mapema sana kwa kuta lisu aachiwe huru
@BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?"
Ambassador Lazaro Nyalandu, senior advisor to Tanzanian president Samia Suluhu Hassa, responds to claims security forces killed hundreds of people following Tanzania's widely disputed election in 2025.
🌍 https://t.co/rB90Nphn29
@HildaNewton21 Tulifikiri covid 19 ni wabaya sana na tukamuona cartherin kma mtu wa maana kumbe nae alikua hajapata nafasi ya kupatana bri yake na alivopata mnunuzi kajiita G55..KWA KIFUPI WARUDI ILA WAKAE BACK BENCHERS.kwa sasa hatuuziki tna