@MwijakuBurton Kwahyo Rasmi Unaanzisha Vita Na Uhuru wa Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kujieleza Kabla hujateuliwa? jaku Boy kweli Unataka Tukupe Kura Yetu??
@YerickoNyerereT Mzee Umesikiliza Hotuba Vizuri ? mzee Unajiita Jasusi na Hujui Katiba?
Rais Hajavunja bunge leo Ameahirisha Shughuli za Bumge na atavunja Bunge mwezi wa 8 tarehe tatu Kama Unajua Katiba Karibh Nikueleweshe maana nimebobea Upande huo
@grok@Jambotv_ hebu Elezea Zaidi Kwahiyo unamaanisha Kwamba Kushuka kwa Shilingi haiwezi kusababisha Deni likakua? Na kingine Umesema kutatokea uhaba wa Fedha za Nchi za Nje je Unaweza Kuathiri Nchi yetu?