@_zack255@lifeofmshaba Nahisi haujawahi kusogelea hata ofisi za Border wewe ndio maana unaongea usengeusenge tu!. Mtu akifuata taratibu zoote za uhamiaji na sheria za nchi husika anaruhusiwa kuingia nchi husika! Sasa hadi mtu anakata tiketi ya ndege si amejipanga vizuri?. Mother mpuuzi tu huyu
@CyancutyTz Tatizo lako na wewe huwa unatupa magroup ya kubet tu, mbona unataka kutuingiza kwenye dhambi mbili kwa mpigo wakati hii ya Edeni hatujamalizana nayo?. Hebu usitupelekeshe hivyo basi!. Tuendelee na hii ya Eden kwanza mpaka tuseme basi
@millardayo Sisi sekta binafsi wacha tufe hatuna faida na wewe! Ilishindikana nini hiyo Bodi ya kima cha chini kuja mjumuisho wa sekta zoote!. @SuluhuSamia@ikulumawasliano si umedanganywa na @MrishoMpoto kuwa tutakulipa mwaka huu! Subiri tukulipe sasa
@millardayo Tukio hili mmefanikiwa kuwakamata waharifu haraka saana, je vipi kuhusu tukio la @TunduALissu na je vipi kuhusu tukio la Ally Kibao?. @tanpol acheni kutufanya watz wajinga
Kifupi @YasTanzania_ sio mtandao wa kuamini tena!. Nipeni statement za uongouongo ila leo ni mwisho wa matumizi ya line yenu na hili deni la 1000 siwalipi!. Hoʻuzì
@YasTanzania_ Jana nikaweka 1000 nikabaki na deni la 800 kisha nikaweka 500 ikabaki 300 nikakopa 500 ikawa 625+300 inakuwa 950 sasa nimeweka 1500-950 hiyo 550 iko wapi?. Naendelea kukubari kila mnachotaka kusema ila bado inabaki 500 au 900 mliyoniibia!.
Leo tena naandika kwa uchungu mkubwa saana! Serikali wachungezeni saana @YasTanzania_ wamekuwa WEZI @YasTanzania_ ni wezi Watanzania @YasTanzania_ ni majizi makubwa
@YasTanzania_ Ok sawa nakubali jana nilikopa 500 mida ya saa 8 mchana ikatakiwa nilipe 625, usiku saa 3 nikaweka 500 mkakata yoote nikabaki na deni la 125, kisha nikakopa tena 500 ili nilipe tena 625, 625+125 deni la awali inakuwa 750/= sasa nimeweka 1,500/= 1,500-750=750/= iko wapi hyo 750?
@YasTanzania_ Mkopo wa Tsh 15,000/= hebu nionyesheni huo mkopo ni wa lini?. Lini mlinikopesha 15,000/=? Au mmeanza lini kumkopesha mtu hadi salio la Tsh 15,000/=