Mh @mwigulunchemba1 waziri mkuu mimi nami najiuliza Maswali yafuatayo
1. Ikiwa waziri mkuu hana majibu ya nani aliyetaka kupiga mabomu na kupiga risasi ni Raia gani akijiuliza atapata majibu?
https://t.co/LCgeSis3AI nani walioenda kutoa CCTV kamera majengo ya serikali Dodoma mara baada ya tukio la kupigwa risasi Lisu wewe ukiwa wazir wa mambo ya ndani?
3. Ni kweli kuwa majeshi yetu yamedhoofika kwa kiwango cha kuwa sasa utekaji unaanza na mtu wa 1 mpk wa 700 na hayawezi jua mtekaji ?
4. Ni lini serikali itaacha kuwa mlalamikaji kuhusu utekwaji na kuwa mtafuta suluhisho?.
5.Hapa nchini ni nani mwingine anayemiliki pingu wanazofungwa waliotekwa ukiondoa majeshi yetu?
6.Serikali ambayo Raia wake wanatekwa na waziri mkuu wake anawataka Raia wajiulize maswali badala ya kukabiliana na watekaji ni serikali ya namna gani?
Rio Ferdinand accused of sports washing after going on Tanzania govt visit hosted by minister - his "good friend" - who has been sanctioned by USA for gross violations of human rights. https://t.co/Ag2Y6BvfzC
Godbless lema nafatilia kwa ukaribu mijadala yako.
Unaonekana unapenda sana Teknolojia hasa ukiposti kuhusu Crypto, Ai &ML, Biotech, digital platforms n.k
Nikisoma posti zako nafurahi mno, ungekuwepo serikali tungekuwa mbali.
Nikitoka Melbourne ๐ฆ๐บ i have special gift for you.
@iamkizzyh Uzuri ni "subjective", so mzuri wako ni mbaya kwa mwingine, kuna wanao penda, matako, wengine sure, wengine matiti, wengine rangi, hips nk. Hatuwezi kukubaliana kwenye swala na uzuri hata siku moja. But ukisema kwa vigezo vyako uko 100% ok.
@gabyconscious Sina hakika na hilo! Na kama ni kweli wanashtakiwa kwa Sheria ipi?
US Gov saivi wanaanza kununua btc ili kuwa na reserve ya kutosha baada ya kuona inathamani, sisi tunafunga watu, duh! Kama ni hivyo, basi tusahau kuendelea. Yani betting ni halali ila crypto sio. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ