@Mwinshehe07 Mojawapo wa sifa wa Waafrika, wizi wa mali za umma, miaka 70 ya kujitawala ila hawajatatua hata changamoto moja ya maisha yao. Are they like that? Check DRC na Rasilimali walizonazo, wamepiga hatua gani? Hao ndio waafrika halisi
@Mwinshehe07 Simple and clear, they are not African! Walijikuta bara la Africa wakati Bismack akiligawa bara la giza. Hawana tabia za Kiafrica, wana maendeleo kuliko nchi nyingi za Kiafrica. Lugha yao sio kibantu, hakuna tamaduni yeyote inayoingiliana na wale wengine!
@advocate_silayo Mbinu nyingine ni ile unapewa dawa, then unaambiwa saini afu unaondoka bila kufunga form. Wao wanaongeza dawa zingine au huduma nyingine baada ya wewe kuondoka! All in all, baada ya huduma funga form kama unavyofunga Slip ya bank