Hapa ndo unashangaa sasa Vita iko IRAN, Hisa za CRDB zinashuka Tandale
Ndo nakumbuka maneno ya babu @nickyrabit alinambia
โDunia hii inaendeshwa na watu wachache sana kaka watano ni wengiโ
@ally_eh Tatizo si kuwa hawana, bali kwanini watake fundisha wengine kwa pesa?
Kwanini wasiwekeze hizo nguvu kupata pesa zaidi ili wasiongeze ushindani?
@nestdv41@Its_elknows Chuo Ulisomeshwa Bure?
Mbona Hawajakitafutia Ajira?.
Shule Mlilipia Ada Na Ajira Hmjapata Then Kwa Vijana Wenzenu Mnataka Wawape Elimu Za Kuingiza Pesa Burebure.
Muna Matatizo Ya Akili Nyinyi.
#HipHopFamily mi napenda kumuita El Mencho wa Rap game
Brother @DullahTheking2 ye ana mwita AI wa Rap game
Wewe je, una penda kumuita nani @dizastavina ?โ๐ฟ๐ฎ๐ฟโโ๏ธ
Ni Fahari kuwa shabiki wa DIZASTA VINA
Unaweza sema hii ngoma kamaliza sasa atatoa wapi maSKILLZ na maneno mengine the next TRACK anakuprove Wrong.
BARS hasira kama ndo anaanza Game.
๐๐๐พ๐๐
Kama kawaida kumecha changamka na kwa pamoja tunaenda YouTube kushambulia halafu mengine yana fata bila kusahau usiache ku subscribe kwa ajili ya kazi nyingine zinazo fata ambazo zilikupita pia.
Jibu ndiyo Mwalimu ๐
https://t.co/FklASuTBQZ