@Jambotv_ NATAKA KUSIKIA JAJI MTUNG MLEZ WA VYAMA AKIWASHUGULIKIA VIKAL HAWA VIONGOZ WALIO PACHIKWA BILA UCHAGUZI
Hapa mtumzima unaweza onekana huna akili kutokan na matamshi ulio ongeaga uko nyuma😄😄😄😄
@bbcswahili hata yesu kristo bada ya kukamatwa kuna wanafunzi wake walitawanyika tena nawengi walimkana hadhalani lakini badae ndio huu ukristo ummenea ulimwenguni kote kwaiyo kukimega au kupalanganyika ndio mwanzo wakujiunda upyaaaaa 🙏
@Jambotv_ Wakati wapo ndani ya chama walikuwa wanawapanga sana 😁😁😁namkawa mnawamini mfno wa hiyo picha mlikuwa mnambiwa huu ni Ubwabwa nanyie mkawa mnakubali japo sio moja kwamoja
sasa mmegundua haukuwa ubwabwa wameanza kukimbia😁😁😁
Gonga🥂 maji na mafuta yanajitenga
Beautiful inspirational song by the talented firebrand politician @godbless_lema
(yes it’s him singing)
My brother una vipaji vingi umepewa na Mungu - tumia kila talanta 🔥
Asante kwa wimbo huu murua na wa kututia hamasa
Waiting for the whole song to drop!
#Usiogope ✊🏽
Tuwaongezee na hii ya kimbembe Cha leo Msoma🔥🔥🔥🔥
SIASA siyo Biashara MURA!!
Wakubwa naomba TUPIGE Repost iwafikie wanaosubili CHADEMA ife.
#NoRefomsNoElection
@MsigwaGerson KAKA NOW UMEPOTEZA MVUTO POST ZAKO ZIKO NA COMENT CHACHE MNO ILA JITAFAKALI BADO UNASAFALI NDEFU KATIKA MAISHA HIVYO BAS JITAIDI KUWA MKWELI KWENYE MAMBO YANAYO HITAJI UKWE
MUNGU akubaliki na akusimamie katika majukumu yako🙏
@MsigwaGerson Mmepandisha ilikuzima upepo wa PADRI KITIMA aceeeeeee wa TZ wasasa wana IA katika akilizao kwaiyo mmepandisha ilikupepelusha upepo ila hapolipo sio kwa lilati