@Mwanahalisitz Haki kwa watu wa Ngorongoro italeta amani kwa wananchi wa Ngorongoro na Taifa kwa ujumla.
Haki italeta amani moja kwa moja(Automatically)
@Avaaz@SuluhuSamia@The_EastAfrican I have been fortunate to visit both Ngorongoro, and the Serengeti. Trophy hunting is an abomination, its only purpose serving the elites' egos. Acknowledge the Maasai as the custodians of their lands, support and properly resource them to continue their traditional lives.
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Viongozi wetu wanawaza hivi,unatarajia mema yapi na amani ipi itawale.
Inavyoonekana Tanzania itaelekea kwenye vita isiyoisha kwa sababu ya vichwa vya aina hii.
Malipo ya vita kwa sababu ya fedha yenye damu itamwandama miaka na miaka.
@mshambuliaji@KumbushoDawson Mifugo ndo kitega uchumi kwa wakazi wale.
Utajiri wa wamasai ni ng'ombe, iweje wawe maskini wakati mifugo wamezidi kama usemavyo ni kweli?
Utu na hadhi yako hutumia muda mrefu kuijenga lakini kuchumia utumbo kwa jasho lililovujishwa wengine hudhaifisha utu na hadhi yako.
@mshambuliaji@KumbushoDawson Kuzidi kulikatazwa wapi?Ilikubaliwa kwamba mwisho wa watu watakaoishi Ngorongoro ni hii?
Umeenda sehemu yenye makazi ya watu kuchukulia clip iliyojaa uwongo na uchonganishi ili ufurqhishe wadhamini wako ilihali hujui kwamba wakazi wanaishi pembezoni mwa njia za wanyamapori!
@NASSARY_ @RealHauleGluck @mshambuliaji@KumbushoDawson@visitngorongoro Ni lini Twiga wakaishi kwenye eneo Tambarare lisilo na miti?
Ni lini swala wakaishi maeneo ya Baridi? Ungeelewa wanayama unaotolea mifano wanakopendelea kuishi kwanza kabla ya kutoa mifano yako ya michongo!
Hayo majengo ya kudumu unayosemea, hiyo si shule ya msingi?
Tafiti 1st
@mshambuliaji Kweli umeazimisha akili yako baada ya shekeli🤔🤔🤔🤔.
Taaluma yako unaitumia kupaka ubaya jamii iliyovujishwa jasho?
Hujui shekeli ulizopewa na ukaamua kuisaliti taaluma yako ili tumbo lako lishibe ni jasho la hao wasio na maji safi na miundombinu muhimu? Kilio chao shibe kwako!
@OlengurumwaO@WateteziTV Na wanadiriki kusema miradi ya mama imetekelezwa kwa 100%!!!!!
Mamlaka (NCAA)imekuwa na nguvu kuliko serikali siku hizi!
Maendeleo ya watu ni muhimu kuliko shibe inayopatikana kwa machozi ya jamii!