#KesiYaMichongo "Baada ya kusikiliza uamuzi mdogo wa leo wa Jaji Tiganga naweza kusema bila shaka yoyote kwamba Jaji amefeli jaribio la kusimamia uhuru na haki." Mhe. @jjmnyika
@ThatBoyKhalifax Huo si mkutano wa kuongea na wadau bali Rais kaalikwa kuhutubia kupiga picha na kusepa zake kama Rais aliweza kuita makundi mengine wakaeleza changamoto zao alishindwa nn kuita vyama vya siasa au anataka watu wamlambe lambe viatu??
Naweka mapema - kama kuna concession yoyote itafanywa na SSH na chama dola itakuwa kutokana na @ChademaTz kuonyesha msimamo na KUSUSS na si wengine kwenda ku”jadiliana” naye
Msije mkaja ku-claim credit - maana nawajua 🤣
All credit and political capital itakuwa ya CHADEMA
📌
Daah
KINGAI Again!!... Hii nchi watu wengi sana WAMEUMIZWA ,na ili kuponya ni hakika tunahitaji MARIDHIANO ya KITAIFA kama anavyoshauri Mkiti MBOWE... #FreeMbowe
Eti Bulembo alidai Prof. Kabudi aliharibu mahusiano ya kimataifa sasa Mulamula anayajenga.
Haya hao ni mabalozi leo tarehe 14.12.2021 wako ktk mahakama ya kigaidi na uhujumu uchumi wakifuatilia kesi ya Mbowe.
Hapo mnajenga au mnabomoa? Hao sio watu wa propaganda subirini matokeo.
@ThatBoyKhalifax Hata Kama wakienda ikiwa Rais na CCM ndio wanabakia kuwa na guarantee ya kuamua nani ashinde nani asishinde na nani awekwe NDANI (prison) nasema kwenda ni kupoteza mda na kujichorekesha zaidi Rais ndio ataendelea kuvimba kichwa kuwa yeye ni alfa na omega
Mkiona wanaibuka eti wanataka @ChademaTz iende kwenye “dialogue” mjue wamekwama 🤣
Narudia NEVER negotiate from a point of weakness! And never negotiate for fundamental rights that can be restored without consultation
Well done Chadema 👏🏽 waendelee na Photo-op yao #TutaelewanaTu
Sikiliza ushuhuda wa Rafael, mkazi wa Chanika, DSM ambaye alikamatwa na kupelekwa kwa Kingai na kupewa tuhuma za ugaidi, kuweka magogo kwenye barabara.. Kingai akaamuru apigwe na ateswe sana hadi akiri na kukubali. Alikamatwa Mlandizi na kuanza kuteswa huko.