@Brother_0101 mwenyezi mungu haombwi ,mungu anashukuriwa kashakupa afya akili nguvu dunia na adhizi unataka akupenini tena vinavyobaki angaika na dunia kama wa nyama wengine (ndege,nk)
@gudjow1 @Lukengelo_ @Adventure_36 sheria haina huruma as long umeivunja itakuazibu uyo dereva wa mafuta ata boss wake awezi mdai apo wanamgangania uyo mwingine