‘Interview’ya leo kati ya Mhe Samia Suluhu Hassan na Salim Kikeke ni moja ya interviews bora kabisa kufanywa miongoni mwa viongozi wakuu hapa nchini. Mhe Rais ametoa ufafanuzi muhimu kwa mambo ya msingi yanayoikabili jamii yetu leo na kesho!
Nimesikia tokea Tuchel ajiunge na Chelsea, hakuwahi kukutana na Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich, alikuwa akionana na Watendaji wake tu. Jana kwa mara ya kwanza kaonana na Abramovich baada ya ubingwa Ulaya. Lipo la kujifunza hapa? 😀