Maintaining a healthy lifestyle is vital. This means:
๐ Eating healthily
๐โโ๏ธ Being physically active
๐ญ Avoiding alcohol and tobacco
๐ค Getting enough sleep
๐ https://t.co/0U9jroJSCx
#SelfCare Month
Leo nimepokea taarifa za mwaka wa Fedha 2019/2020 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Nimeagiza kufanyiwa kazi na kuchukuliwa hatua mara moja kwa ushauri na dosari zote zilizoainishwa katika taarifa hizo.
Vijana.
Ni muhimu sana kuwa na mtu wa kuongea nae, kubadilishana mawazo na kushauriana.
Haijalishi una kazi au hauna, haijalishi una biashara, umeoa au umeolewa unahitaji sehemu yakutolea madonge yako.
Hahaaa ๐คฃ wanafikiri @TunduALissu ana makuu? Wamesahau ni mwanaharakati! Yaani hapa ni uninja - alafu @MagabeAlicia is tough as nails - ye chochote anamwambia Lissu - haya twende - haooo!
Mungu awasimamie maana kiukweli kibinadamu tu unajiuliza mangapi wapitie? #TutaelewanaTu
Utii ukizidi unakua uoga uoga huzaa unafiki na kujipendekeza mwisho wake ni mauti #HappyNyerereday๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ @ Arusha, Tanzania https://t.co/CJbNGhMR61
OUR work "Quantitative assessment of metal contamination and associated pollution risk in sediments from the Mara River in Tanzania", has been accepted for publication in Environmental Monitoring and Assessment [JOURNAL].
Hongera kwa mzee Nkinda! Hard work pays off. #GiftedHand