An Advocate of the High Court of TZ, Vast experience in Environment/Natural Resources, Corporate Law & Business Development. Stand for equal playing field
Wiki hii nitapost picha zetu na Rais mtarajiwa @TunduALissu kabla hajaingia kwenye siasa. Kidogo nitawapa historia ya maisha yetu.
This week, I will be posting photos of our family @TunduALissu a sneak peek before politics.
Wedding reception at Kilimanjaro Hotel, DSM
#Niyeye2020
MABILLION yalichotwa siku TANO baada ya kuzikwa JPM, hii ni kwa mujibu wa GAZETI la RAIA MWEMA.... WAZIRI wa FEDHA wa wakati huo alikuwa ni nani??? Na ni hatua gani zimechukuliwa mpaka SASA?
https://t.co/LNiEMOwyxd
@TunduALissu na @Advocate_Jebra wanafananunua hatua za kesi za ICC. Usikose kusikiliza na kujifunza hatua hizi na kupata majibu ya maswali mengi.
Maelezo yote ya Ndugai hayajaeleza ni kwanini ameamua kuvunja katiba ya nchi yetu, tunajua hili linapita kama yale mengine yaliyopita na tumevuka tunasonga Mbele
Habari za siku ya tarehe 28.10. 2020? Je umeshatimiza wajibu wako wa kupiga kura?
Sisi tumefika Singinda. Tunaelekea kituo cha kupigia kura.
Tunawatakiakila la kheri.
#NiYeye2020@TunduALissu#ChaguaTunduLissu#ChaguaCHADEMA
Tuchague viongozi ambao wataturudisha katika karne ya 21. Karne ya 21 ambayo dunia nzima inatambua haki, heshima na utu wa mwanamke.
#28102020 #TunaLetu28102020
Basi ubaguzi, basi uenevo, basi unyanyasaji, basi kunyimwa haki.
#NiYeye2020@TunduALissu#ChaguaTunduLissu
Juu ya changamoto zote tulizopata, na tunazoendelea kupata, tumefika.
Tumewasili Ukerewe kwa mtumbwi wenye injini. Ila leo wameleta usumbufu mkubwa kwa wananchi wenzetu wa #Ukerewe & #Kisorya
Asanteni na Mungu awabariki.
Retweet 🔁 tuwaambie tuna jambo letu tarehe 28 Oktoba!