Haha. Ukienda interview alafu panelists wakuambie “we’ll get intouch” unafaa kuchomoa strain ujiwashie alafu uwaambie sisi ni watu wakubwa hakuna haja ya kudanganyana
Sasa kuna boys Fulani alikuwanga anapenda kuextend preps kwa class yetu, the rest of us tulikuwa tunaenda kulala tunamwacha class tukidhani anasoma kumbe hii yote ilikuwa sarakasi, kumbe boys alikuwanga illuminati bwana na hatujui, sasa kuna siku usiku hivi nilisahau plate yangu class nikaona hii nikingoja adi asubuhi sitaipata nikarudi kuicheki, kufika class nilishtuka bwana eihh boys alikuwa amezungukwa na mademons bwana zilikuwa zimevaa zile nguo za manuns zilikuwa zinamlisha chapo kuku zingine zikimpapasa, kumbe boys alikuwa na cheo huko sasa ikifika usiku anazisurmon zinakuja kumlisha na kumpapasa, nilipiga nduru bwana mawatchmen wakakuja mbio kufika hakuna kitu walidisappear kwa hewa na huyo boys, and that was the last time kumuona, sasa venye tulienda kucheck loka yake the next day tulipata masyringes ziko na madamu eihhh kumbe alikuwa akitoa damu yake kama sacrifice 🥲, upto today sijui hizi demons zilipeleka huyo boys wapi
Kuna mahali nimepitia kwa hii tl nikapata bois flani hapo amequote picha ya mrembo na poem ingine hatari sana. Kurudi hivi napata hiyo picha imekua deleted.
Sema instant dust delivery. Yaani from Kitengela to Kalahari desert. Simps deserve absolutely nothing but miserable life
I really admire these people who don't publicly celebrate there achievements bwana, I had a friend hata graduation yake hakucelebrate bwana, hakuna hata single photo alipost concerning it bro is just winning in silent. That is kind of character I wanna adopt.