@swahilitimes Watu wana vaa pete za gold na almasi za uchumba na harusi za >30M wanatakiwa kutembea na risit za sonara au
Hawa wawe wazi sasa madini katika hali gani au bei gani
@Cowwbama Mshahara hauna shida sema marupurupu mengine pia yakoje kama
Call, extra, risk allowance, umeme, maji, nyumba, simu na mikopo ya taasisi ikoje
@BarakaMaviatu Unaweza acha kizazi masikini chenye historia ya utajiri baada ya ww kufa maana watakuja wahuni watengeneze bodi ya usimamizi wa mali za kanisa
Soma historia ya GUCCI coy
@HabiibYahyaa Nilicho jifunza nikuwa rais wa USA sio Rais kamili kama huku africa kwetu wao rais anaendeshwa na mifumo ambayo ni CIA haohao na ningumu kiwa tofauti na mfumo
Tramp anafanya kazi ya marekani vizuri kwasasa ukisema shambulio hili ni la CIA hao jama hawa koseiagi aise
@Zephania_Ndaki Ugali dona unakaa sana sababu una kula pamoja na pumba za mahindi ambazo binadamu hawezi zimengenya zinaitwa cellulose
Wali huisha haraka sababu hauna uchafu (celulose) mwingi kama ugali dona
Sembe na wali vinaisha pamoja
@jeju_julius Watu wananyweshwa mapombe ya ghali mahennesy, jager master na captain mogani ambayo yanatengenezwa huko mitaani mbagala rangi tatu q
Mimi bora ninywe visungura ila sio pombe za brand aisee mafake ni mengi sana
@ayubu_madenge Mkali hibii huna mke, huna watoto, nguo zinafuliwa na kanisa, chakula hujui kinatoka wapi, wazazi wako wanpata kamisheni, kaburi lako na mazishi yasha andaliwa kwanini usijue na usibobee kwenye vitu vidogo vidogo kama hivyo
@TonnyUnfiltered Mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya= DMO
mganga mkuu wa H/mji = TMO
mganga mkuu wa H/jiji = CMO
mganga mkuu wa mkoa =RMO
hao MDO, SIO na DCD siwajui nisaidie
@TonnyUnfiltered Mganga = dakatari/tabibu/mchawi/sangoma
Mkuu = kielezi
Mganga mkuu = daktari/tabibu mkuu
Mganga mfawidhi = daktari/tabibu kiongozi wa ....
Mganga mkuu wa wiliya = daktari mkuu wa wilaya
Mganga mfawidhi wa kituo cha afya = daktari/tabibu kiongozi
@robkidayo_ Kujua vitu kwa kini ni rahaa sana jama anajibu kwa historia na ushahidi @haji hajui anauliza nini @charles aliuza maswali ya kitoto sasa @oscar anatamani heche aendelee kuongea
@EsirEid Ni baada ya kufanya uwiano wakiuchumi kati ya inchi hizi au umebadili tu thamani kwenye shilingi ya tanzania
Unajua hapo unaweza kuta uganda ndio wanao nunua mafuta bai ghali zaidi kulingana nanthamani ya pesa yao
@__Masstown Kuna kasayansi kausingizi kanaitwa cha kwanza Hypnagogic ( kupoza unapo anza usingizi) na la chapili hypnopompic (kupoza karibia kuamka) pitia Google hayo maneno mawili ufurahie hakuna jini wala jinamizi ni sayansi tu