dhidi ya mshtakiwa.
Baada ya kusomewa mashitaka Lissu ambaye alikuwa akijitetea mwenyewe kufuatia mawakili wa serikali kupinga uhalali wa wakili Peter Kibatala aliyeteuliwa kumtetea kuwekewa pingamizi lakuwa na yeye ni mmoja wa mashahidi wa tuhuma hizo, Lissu alikubali mashitaka
@kigogo2014 Vijana wangapi waliwakilisha nchi wakati huo? Unatolea mfano mmoja tu, taja idadi na kwa majina yao kama huyo. Sasa hivi vijana wengi wanawakilisha nchi zaidi ya kipindi cha mm miaka ya 1960 na 1970. Vijana wasomi wengi wako sasa
@bbcswahili Peter Msumba toka Vikindu ,Pwani (Tanzania) Kweli nchi yetu imebarikiwa kwa kufanya ibada ya siku ya Ijumaa kuu.Nchi pekee dunia isiyotoa katazo la kusanyiko la ibada.