Kibatala: Shahidi Tulikubaliana kuwa Moja ya Investigative tool au Workonh tool ni hii statement ya Pesa na Maelezo haya
Shahidi: Ni sahihi
Kibatala: Soma pale Baada ya Kupokea Pesa hizo nilizitoa
Mnadhani kuna Jambo la maana sasa, Mawakili wa Serikali wanataka Kupoteza Muda, Shahidi wao apumzike... Bahati Nzuri sana, tumewashtukia... Shahidi huyu ndiye aliyehusika Kutenda Jinai kwa Watuhumiwa (Kuwatesa) na kuwalazimisha Kuandika Maelezo Yao.. Wakiri uongo. Tunae leo!
Shahidi: 1. anayetuma lazima awe anafahamu Malengo ya fedha 2. siyo lazima awepo eneo la Tukio 3. Siyo lazima Matumizi ya pesa yajuliikane
Kibatala: Kwa hiyo hata Uchunguzi Wako Ulifuata hicho Ulicho elewa wewe
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Ni wewe ulimuhoji Denis Urio
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: alikueleza..?
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Ilikuwa TSh ngapi
Shahidi: Sikumbuki
Kibatala: Pesa Iliyo badirishana Mikono kati ya Moses Lijenje na Khalfani Bwire ilikuwa TSh ngapi
Shahidi: Sikumbuki
Kibatala: Hivi una Elimu gani
Shahidi: Kidato cha 6
Kibatala: Sekondari gani
Shahidi: Moshi
Kibatala: Ulipata Division ngapi
Shahidi: Division 3 Point 13
Kibatala: ulifaulu Kwenda Chuo
Shahidi: Hapana, CCP Moshi
Kibatala: Ok! Ndiyo Walikuchagua sababu ya uwezo huko
Kibatala: Nyie Kama Polisi mkipata Taarifa Mnairekodi au Kufanyia kazi
Shahidi: Tunafanya kazi
Kibatala: Je wewe Kama Mpelelezi Uliwahi Kwenda 14 July 2020 Kule Ngerengere 92 KJ Ka kweli alikuwa kazini
Shahidi: Sikwenda
Kibatala: Wewe Kama Mpelelezi Wakati Denis Urio anakutajia Kuwa Kuna Cassa Motel, Je Uliwahi Kwenda hata Kuthibitisha
Shahidi: Sijawahi Kwenda
Kibatala: Mgahawa ambao Denis Urio alitaja Wamekutana na Mbowe Wewe Kama Mpelelezi Uliwahi Kwenda
Shahidi: Sikwenda
👉Kituko kikubwa kinakuja kuletwa na DCI mstaafu Boaz kama shahidi wa Jamhuri kwenye kesi ya michongo ya Mbowe.
👉Ushahidi wa Afande Swilla na Luteni Denis Urio umempandisha sukari mzee wa watu
👉Anatamani kujitoa kwenye hii kesi kulinda heshima yake,lakini wafilisti wamembana
Kaka @mshambuliaji (chati hii ni gereza la Segerea pekee),mahabusu miaka 12. wakiuliza wanaambiwa “Mahakama haina fungu la kuendesha vikao”. Kupitia kipindi cha Joto la Asubuhi EFM huoni sababu za msingi kuwasemea hawa kama ulivyowasimanga wamaasai wa Ngorongoro?
#TANZANIA:
"Tunamtaka bwana Kitenge, na genge lake la Jamvi la Habari wakanushe mara moja ndani ya siku 7, upotoshwaji ambao wamefanya ndani mbuga yetu ya Ngorongoro, upotoshwaji kuhusu jamii yetu ya Kimasai, na asipofanya hivyo hatua za kisheria zitafata mkondo wake"
"Nasema kuanzia leo Mimi Hamad Masoud Hamad si Mjumbe tena wa Kamati Kuu wala si Mwanachama tena wa ACT-Wazalendo. Narudia tena kusema kama wanasema Hamad wa nini wako wanaosema tutampata lini?."
Kibatala:Hukusema lolote la Ziada sijui kwanini Wakili Abdallah Chavula kasimama.. Labda kwa sababu sasa ni Saa 11 Ndiyo Maanaa, Naomba tu airishe Mpaka Kesho Wenzetu Watakuwa Wamechoka hawa..
Tena kwa Hoja ya Muda Kama Wenzetu hawatopinga..
Wakili wa Serikali Pius Hilla: Mheshimiwa Jaji Shahidi amesema Kwamba ana ufafanuzi, lakini siyo Kumwambia Shahidi Kwamba ni Mzima..
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Ukweli Kabisaaaaaa sijaona Mr. Hilla Kasimama Kwa sababu gani yaani..
Jaji: anasema yale maneno ya ni MTU MZIMA
Kibatala: Kwa kuwa havifanani, Je Uliwahi Kuandika Maelezo ya Nyongeza Kutoa Ufafanuzi Kwamba iweje watu wawili Wamekiri halafu Maelezo Yapo tofauti?
Shahidi: Sikuwahi Kuandika