Here we go, join the best team to smash the market. Just click the link below @DizoFx
@FIRSTBORN_Milly @emz_nolimits_@pip_storm https://t.co/zEbtkTCfuf
Kuwa Macho Wizi Mpya Kkoo Sio wa kukwapua Tena..
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wizi mpya ambao unawahusisha vijana wanaojifanya wanamatatizo ya akili kimwonekano lakini kwa undani ukifuatilia wanajihusisha na utumiaji wa madawa yanayopelekea uraibu na kuharibu
👇
Pengo kwenye hili hana Maslahi ndio maana unabweka hovyo, Tz ina miaka zaidi ya 60 ya uhuru hakuna kitu kimefanyika, TICTS wana maika 30 kuna jambo gani wamebadilisha pale, TZ tunahitaji wawekezaji zaidi ili tupige hatua kimeandeleo acheni kutumia vyeo vyenu kupotosha watu