@Nindi_Jr Yes alikufa, ndo maana mwishoni pale yule maza anamwambia yule jamaa mniga kuwa we lost two agents na anasema bianca alienda rogue bila kutumwa
@Litelight9 Kazi inaenda haraka hawazuruli daily wapo kazini wala hawaibi ukienda nae dukani mnanunua bei halisi maana hana 10% pale hamjui mwenye duka
@agmwasanga@Tanganyikan Kwa mfano kuna mchele unauza elfu 3 kilo sumbawanga, oyah ule umenyooka hauna hata vumbi na hawaoshagi ni km unapunguza ladha na harufu nzuri ukiosha, ule ukija dar unaweza uzwa 10k kilo, wanapelekaga congo uko cjui zambia nk
@MarekaMalili Lake zone na kaskazini? Dodoma ni wafugaji zaidi kuliko ukulima!! Sema hawa watu wameama kuwa lowkey lkn vijijini ni km kila nyumba wamefuga na kunae wazee wana mifugo 500+