@EliabuDanford A students wanakuwa Madaktari
B students wanakuwa wahandisi na wanasheria
C students wanakuwa wanasiasa
D Students wanakuwa waganyabiashara
F students wanakuwa waganga wa jadi na viongozi wa dini
Sasa F wanawacontroll wote kuanzia chini kwenda juu. Sio bahati mbaya
@akilnyingi Siwezi kushindana na mtu aliedumaa, uwezo wako ni mdogo sana na ubongo wako ni mdogo kama wa siafu kushindwa kujua kuna Afya Kinga na Afya Tiba. Umeshindwa kujua Hospitali inafanya pia kazi ya kuzuia magonjwa, hujui RCH ni kinga pia?๐ฎ
@akilnyingi We pambana na upumbavu wako. Ninachokijua utalalamika kisha utaenda kula ugali wa shikamoo, utakojoa utalala. Vichwa vingi ni bora kuliko kicho kimoja hasa kama chako kilichojaa kamasi badala ya ubongo.
@akilnyingi Na sio kama unavyofikiria. Kabla ya hao walikuwa wanafanya manesi na situation ilikuwa worse. Kuna gap kubwa lilikuwepo ambalo sasa kwq sehemu kubwa limezibwa. Kuna Clinical Nutritionist ambao utofauti wa course sio mkubwa pia. Jifunze na uache ushamba. OUT pia wanatoa hizo kozi
@akilnyingi Sifa zako kuu ni:-
1. Ujuaji
2. Upumbavu
Sidhani kama unawazidi akili Wizara ya Afya, OWM TAMISEMI walioona hao wanafaa.
Hakuna Nutrition Officer atakushauri usile matembele labda umekutana na mtu aliejitambulisha hivyo na siyo NuO. Idara ya Afya wanafanya kazi kwa miongozo
@TOTTechs@chapo255 Sasa watajuaje kwamba namba ipo dormant kwa sababu gani? Imagine watu wanaofariki namba zao wazifanyie nini zaidi ya kurecyle? Wenyewe wanadai hizo namba wanazilipia TCRA so ni hasara kwao, pia namba (code) zinajaa
Je Hii ni sawa?
Mbeya (Mkoa)
Morogoro (Mkoa)
Songea (Wilaya)
Je Information Sign zote nitakazokutana nazo huko mbele mfano Mafinga, Makambako na Njombe Zitaandika Songea na si Ruvuma?
@gray_ismai55380@PolycarpMDM Ukitaja Wilaya ondoa neno Mjini, Wilaya ya Mbeya, Morogo, Arusha nk. Neno Mjini na Vijijini hutumika kwenye majimbo ya uchaguzi tu. Zile Halmashauri ambazo hazina hadhi ya Miji (Town, Municipal and City) huitwa Halmashauri ya Wilaya ya......(Njombe, Kigoma, Singida) nk