HATIMAE WAMEKUBALI: kutoka SUDAN, makubaliano kati ya Azam Media na Uongozi wa Al hilal yamefikiwa, sasa mchezo wa marudiano kati ya Yanga na klabu hiyo utakua Mubashara siku ya Jumapili.. awali Uongozi wa Al hilal uliweka ngumu kutaka mchi hiyo isionyeshwe wala kutangazwa..
#HABARI Mama mwenye umri wa miaka 35 na mtoto wake wa miezi 10, wamepoteza maisha baada ya kugongwa na gari wakiwa kwenye bodaboda eneo la mtaa wa Nguzo Nane, Manispaa ya Shinyanga akitokea Morogoro kufuata vyeti vyake Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Hii sio sawa kutumia raslimali za JWTZ kwa shughuli za Wizara au Bunge.Tabia hii imeanza kukomaa. Nimazaoea mabaya.Guys don't treat the Country like your girl friend birthday party.
Azam Media wametoa dau la 200M ili kupata haki ya kuonyesha mchezo wa Marudiano Al hilal V Yanga lakin wamezuiliwa.vyombo vya Habari vinaendeleza jitihada ya kuweka dau lakini matajiri wa Sudan hawataki Mchezo huo uonyeshwe wala Kutangazwa kwenye Redio. taarifa zaidi zitatolewa
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mlowo wilayani Mbozi mkoani Songwe, Constantino Mwazembe (18) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya baada ya kujeruhiwa kwa fimbo, ngumi na mateke na mwalimu wake kwa kosa la nidhamu mbovu shuleni hapo.
Hivyo (1hr) pekee, KIPARA alitumia Sh.89M kuwalipa posho MPs wanawake na wajumbe 24 wa kamati ya kudumu ya Nishati na Madini. Kama ni fedha za umma au ni pesa za wahisani, Je, kuna maelezo yake? CAG tunahitaji utembelee hili eneo, ufanye ukaguzi yakinifu. Au KIPARA akanushe!
KIPARA aliitisha kamati ya kudumu ya Nishati na Madini, wajumbe 24 wakalipwa Sh.2,250,000 each kwa ½ saa. Baadae akawaita MPs wanawake kuwaeleza faida za jiko la gesi, akawalipa Sh.250,000 each. MPs zaidi ya 140 kwa ½ saa. Jumla ni Sh.89M. KIPARA anacheza na fedha za umma.
Yanga sc inamuitaji Kiungo mmoja wa Ukabaji “ the real Defensive Mildfielder “ kama Sospeter Bajana , Kiungo mwenye Energy , Kiungo anaweza kucover eneo kubwa ndani ya Uwanja , Mwisho Kiungo Mfia Timu “ kiungo Punda “ , Unfortunately Timu zima inawacheza wanafurahia zaid kucheza
UTAFITI TAKUKURU: Taasisi zinazoongoza kwa Rushwa Nchini ni:
Jeshi la Polisi limeshika nafasi ya kwanza (45.6%), Sekta ya Afya (17.9%) na Mahakama ya Sheria (11.9%)
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilishika nafasi ya nne (6.1%)
#JamiiForums#UtafitiTAKUKURU#KemeaRushwa
"Kwako Mhe Rais @SuluhuSamia,@mwigulunchemba1@ummmmy na rafiki yangu RC Anthony Mtaka.
Jengo hili ni Kituo cha Afya kinachojengwa Katika Kijiji Cha Madilu Wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe.
Juni 2015 @ACTwazalendo walituletea AZIMIO la TABORA wakihubiri 'siasa za ujamaa wa KIDEMOKRASIA'. Oktoba 2022 ACT wanatuletea 'ujamaa wa KILIBERALI'. Hizi ni ITIKADI za kisiasa tofauti. @zittokabwe siyo jinai kusema wazanzibari wamegoma kuwa WAJAMAA, ACT wamegoma kuwa WALIBERALI
Singapore imepata Uhuru mwaka 1965 imetoka Dunia ya tatu mpaka dunia ya kwanza. Huwezi kusikia ujinga eti kukata umeme kwa marekebisho.
Leo pamoja na kwamba watu wetu wengi hawana umeme, lakini hata hao wanaopata umeme ndio huo wa mashaka. Kuwaondoa ccm madarakani ni kuwasaidia
Jukwaa la VIP A & B hawashangilii wametuachia mzunguko kazi hiyo.. Wanangu wa mzunguko mmetisha, sijawahi kuona mashabiki wakishangilia hivi @yangasc1935 yetu kabla ya mchezo. Mashabiki siwadai chochote. Kazi kwenu wachezaji na dawati la ufundi uwanjani. Let's go! #TimuYaWananchi