@Almalik_Mokiiwa The first 6 months this year nilikuwa profitable kabisa yani kwenye ka cent account kangu. Ila nilivyoanza kuzikataa $20 ishirini na kuziona ni ndogo mpaka sasa account yangu inableed tu!💔
@DaimuManafi Mtu unaaulizwa iambie mahakama kwanini mapaka leo wewe bado ni IGP licha ya kutokea kwa mauaji zaidi ya watu 510 na watu 2000+ kupigwa risasi chini ya uongozi wako?
@AnthonyDCharles@gabyconscious Anaficha tu ukweli itakuwa alimramba vunja urefa na kukodisha uwanja kama ulimpa mchuzi wa kutosha angekubali vipi kwenda kuajiliwa na vunja kwa mshahara wa laki 2 na 50?
@justkanesaint@gabyconscious Ok, let's do math. Anasema alipiga hizo issue like a year ambapo kwa mwezi amna amna alikuwa anafunga 10M. Mwaka mzima ni 120M. Sasa mtu una 120M unakubali vipi kwenda kuajiliwa kwa mshahara wa laki 2 na 50?.
Hivi ndio vitabaki kuwa vitabu vyangu boro kwa muda wote.
50 pips a day
Trading in the zone
Naked fx
Currency trading for dummies
Making it, fx market from Zero
Fx price Action Scalping
The ultimate price Action guide
Day trading & swing trading the currency market.
Ongeza👇
2023 Hakikisha unajinoa haswa kwenye trading psychology.
Anza na hivi vitabu👇
-Trading in the Zone - Mark Douglas
-The Disciplined Trader - Mark Douglas
-Trading Psychology 2.0 - Dr. Steenbarger
-The Mental Game of Trading - Jared Tendler
-High Performance Trading - Steve Ward
Hivi vitabu vinaweza vikabdili mindset yako kama Trader.
-Habit: Atomic Habit.
-Branding: The StoryWorthy.
-Investing: Intelligent investor.
-Money: Psychology of Money.
-Trading: Naked Forex Trading.
-Influencing: How to Win friends & Influence People.