Ukiona miwa inauzwa simama, nunua
Ukikutana na tangawizi inauzwa, SIMAMA KISHA NUNUA
Ukikutana na mwingine anauza limao au ndimu, NUNUA
Naomba REPOST kisha ushuke chini TUKASHANGAE PAMOJA hii combination matata
0788700445 WhatsApp
#TibaAsiliNiMaisha
Haya
Tiririka 👇
Mimi sichukii wanawake, lakini siwapendi wale wanawake wanaobadili ways za maisha yao na kuwa expensive kwa kutegemea hela za wanaume.
Sipendi wanawake wasiopenda kuheshimu wanaume wao na kuwa chini ya wanaume.
Nachukia sana kuona mwanamke anaingia kwenye mahusiano ili apate huduma fulani fulani na sio kwakuwa na true love pamoja na affections.
True love in mythical but atleast tunafaa kupendwa, sio kupenda huduma zetu.
Omba Sala ya BABA YETU ULIYE MBINGUNI, kila siku katika ofisi yako. Ina maana na italeta mabadiliko makubwa.
Unaweza kuigawa sala ya BWANA kwa siku saba za wiki, kama ifuatavyo;
1. Baba Yetu uliye mbinguni; mahusiano ya kibaba, familia, baba na wanae.
2. Jina lako litukuzwe; palipo na jina la Yesu na Yesu yupo hapo. Jina la Yesu lijulikane na lipate heshima mahali alipo.
3. Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama yanavyotimizwa huko mbinguni; Kufanya mapenzi ya Mungu hapa duniani wakati ni Ufalme mwingine unatawala ni kazi kubwa, lazima Ufalme wa Mungu na mfumo wake uje ili tuweze kutimiza Mapenzi yake.
4. Utupe leo riziki zetu; usitusahau ututunze, utulishe na kutupa tumaini wewe kila siku. Biashara, akiba, mshahara usituondolee utegemezi wetu kwa Mungu
5. Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea; Kutengeneza mahusiano kati ya mtu na mtu ofisini. Kipimo chako cha kusamehewa kinatokana na kipimo chako cha kusamehe.
6. Usitutie majaribuni, bali utuokoe na yule mwovu; Shetani yupo lakini hayupo kwenye agenda kuu.
7. Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu na utukufu na hata milele; Kwa kuwa Ufalme nguvu na mamlaka ndani ya hii sekta ni wako ee Mungu. Amen.
~Mwl Mwakasege.
JINSI YA KUFANYA ACTIVATION WINDOW 10 NA WINDOW 11
Kompyuta Yako inadai activation? Umeshindwa kufanya Activation ya windows Kwenye kompyuta Yako ?
Usijali Leo nakupa njia rahisi ya kupiga hela kwa ndugu , jamaa, na marafiki simple
Repost
Likes
Follow 👋
Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu.
"Kaka pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka Hedaru, alipofika nikamuhoji ili kujua ametoka wapi hasa, na familia yake ipoje.
Akaniambia amemaliza Form Four, Ana Division One ya 10, Nikamuuliza Kwanini hujaenda shule, Akasema shule aliyopangiwa wameuza jina lake, Alipoenda kuripoti aliambiwa nafasi yake haipo. Nimeumia Kiukweli naomba nisaidie kwa wahusika binti apate haki yake, Mimi sina kipato kikubwa lakini kwa shule ya serikali nitamsomesha, lakini anapataje haki yake maana mimi kumpeleka shule binafsi uwezo sina.
Shule aliyomalizia Form Four ni MKOMBOZI SECONDARY SCHOOL ipo Hedaru Wilaya Ya Same. Shule aliyopangiwa aripoti Form Five Inaitwa NAMWAI HIGH SCHOOL Ipo Mkoa wa Kilimanjaro Sanya Juu,
Na Mchepuo aliopangiwa ni PCM
Namba yake ya Mtihani ni S.P. 0708/0136
Naomba Nisaidie Huyu Mtoto apate haki Yake Arudi shule Mimi nilitaka mfanyakazi ndo nimeletewa Huyo na Moyo wangu Umekosa Amani Nafasi yake Imeuzwa Kisa Alichelewa Kurepoti shule Wazazi wake Hawana Msaada Tena Maana Baba yake ni masini kabisa, na Mama Yake mzazi kwa sasa ni Mgojwa. Naomba Nisaidie apate hake yake Mimi Nitamsomesha Kwa hikihili kipato changu kidogo Nilichojaliwa"
Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv anasema baada ya Serikali kuanzisha mpango wa Urasimishaji Makazi katika maeneo mbalimbali, baadhi ya Wananchi walilipa Tsh. 150,000 kwaajili ya zoezi la Upimaji, Ramani na Uwekaji Jiwe (Beacon)
Anasema kila wanapojaribu kufuatilia Hati zao, wanaambiwa kuwa Wanakamati na Kampuni iliyopewa Zabuni ya upimaji na kuweka alama za Mipaka hawajulikani walipo
Mdau anatoa wito kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi kufuatilia suala hilo ili kubaini kinachoendelea na Wananchi hao waweze kupata Hati zao
Soma https://t.co/QviVPhR6eu
#JamiiForums #Governance #SocialJustice #JFHuduma #KemeaRushwa
WACHA NIWAPE STORY kidogo
Kwa nyumba ninayoishi tupo watu tofauti tofauti kuna wenye wanaishi (Sogea tukae) hii bila ndoa, na kuna sisi wasela wakike na wakiume.
Chumba cha jirani yangu kuna mzee mmoja (60) hivi na mkewe (50) wanaishi na mtoto wao mmoja wa wakike (8), mzee.