@godbless_lema Kwa kweli nchi imeoza kabsa IPO haja ya serikali ya Tanzania kuacha kuchezea wananchi na kutumia pesa vibaya et kuitisha uchaguzi wakati Haina maana. Uchaguzi ukome hapa Tanzania
@Joshua83933663@o24724@LawyersofAfrica@Oleshangay@EU_Commission You don't know the meaning of pastures kindly talk about really things. Watu wasingelalamika kama serikali inatenda haki. But any way endelea na porojo zako tutaona hatima yake. Malipo ni hapa hapa duniani
@Joshua83933663 @JoelyMeitaya Ni kweli wamasai hawana ardhi ndio maana katka kila pembe ya nchi hii wameandamwa na kunyang'anywa maeneo yao, Ngorongoro, mbarali, simanjiro, longido, kiteto na maeneo mengine mengi. Lakn any way wewe tunaomba utueleza ardhi ya wasai Iko wap????
@Joshua83933663@cw_pedro@TunduALissu Kushindwa kufikiri TU. Wanondoa wamasai Ngorongoro mbna wao wanajenga hoteli za kifahari ndani ya hifadhi naamini lengo kubwa la kuwaondoa wenyeji ni kupisha matajiri kujenga hoteli za kifahari Wala sio kuboresha maisha ya watu
@OlengurumwaO Serikali inayoendeshwa kwa shabaha ya kuwanyanyasa wafugaji ni hatari maana ata msomera hakutakuwa na usalamaq pia , ukweli ni kwamba tutabaki Ngorongoro waje na bunduki za kila aina mm nitafia Ngorongoro ata wasipoleta huduma hizo majaliwa adui namba Moja katika eneo letu
@Joshua83933663 @JoelyMeitaya Political Will ndio maana Ngorongoro is the best conservation area. Lakn ww umejaa chuki na ubaguzi katka kuwaponda wenyeji BILA kujali kuwa wamekuwa mstari wa mbele katka kulinda na kuhifadhi mbuga hyo naamini serikali imekuandaa Ili uwasemee kuhusu Ngorongoro