@EduTalkTz@SuluhuSamia Pato la taifa 2021 lilikua 185 trillions, 2023 lilifikia 209 trillions.
Pato la taifa kutoa deni la taifa inabakia Zaidi ya trillion 100.
Ukidaiwa billion 3 na bakhressa akadaiwa billioni 3, japo kiasi ni kilekile sio uzito uleule, na tofauti inakuja kwenye MAPATO
Sehemu ya kazi siku ya leo nilipokutana na kufanya mazungumzo na mmiliki wa klabu ya mpira wa miguu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu, Dar es Salaam. Tumekuwa na mjadala mzuri kuhusu kushirikiana katika masuala ya uhifadhi pamoja na utafiti.
Sambamba na hayo, nimesikiliza dhamira ya Sir Jim Ratcliffe kuitumia Klabu ya Manchester United kutangaza utalii wa nchi yetu, ambapo pia nimemkaribisha kuanzisha Vituo vya Mafunzo ya Michezo (Sports Academy) hapa nchini. Nimepokea na kumshukuru kwa salamu za kheri toka kwa Kocha Ruben Amorim kwa niaba ya wachezaji wa Klabu ya Manchester United, na za Kocha Mstaafu, Sir Alex Ferguson.
@EduTalkTz@SuluhuSamia@TunduALissu Watu laki 2 wakichanga kila mmoja sh1.000, kınapatikana kıasi ambacho tone kwa tone imeshindwa kufikia, kwa maneno mengine, hawaungwi mkono na watu laki 2.
Sayansi ni uthibitisho wa matokeo.
@davitheempire Sayansi ni uthibitisho Wa matokeo.
Ila wale wasioongelea uzalishaji thamani hudhania wanaongelea wananchi.
Iwapo uzalishaji thamani sio kipaumbele chao, hawajui uzalishaji thamani ni kipaumbele namba 1 na ajenda kuu ya kila nchi hapa duniani.
@earadiofm Mtazamo wako tu, Tena hauna uthibitisho Wa idadi, power couple Ziko nyingi tu, umetazama upande mmoja tu, labda ndio unaowaona, Zuchu na Diamond ni mfano mmoja.
Dr SHH ni mfano mwingine, nakadhllika kadhaa Wa kadha
African Development Bank (AfDB) is proposing a new ‘gold standard’ style currency arrangement backed by critical minerals such as cobalt, copper, lithium, manganese and some of the ‘rare earths’ key to the world’s energy transition and electric vehicles.
The concept for the new financing mechanism was developed as a means of leveraging Africa’s vast critical minerals endowments.
Despite holding about 30% of the world’s critical mineral reserves, the 54-nation region only attracts 3% of global energy investments annually, with just 2%, or $40 billion, directed toward green investments last year, according to the African Development Bank.
READ https://t.co/IC1P2MuZbY
Ajenda kuu ni uzalishaji thamani, cdm hawaongelei uzalishaji thamani.
Wanataka uongozi wa nini?
CCM wanataka🇹🇿 kuwa;
1. Kitovu cha utalii Afrika
2. Kitovu cha utalii wa afya EAC na kati.
3. kapu la chakula la Afrika
4. Kitovu cha uchukuzi EAC na kati
5. Kitovu cha nishati
Ajenda kuu ni uzalishaji thamani, maana hiyo ndio dawa pekee ya kuondokana na umasikini.
Tunawashangaa nyie msioongelea uzalishaji thamani, hujajifunza kitu kwa kaka yako boni yai, ama umefika kwake na ulikua kipofu.
Hamna majibu zaidi ya kuongeza uzalishaji thamani.
Tanzania 🇹🇿 kuwa
1. Kitovu cha utalii Afrika
2. Kitovu cha utalii wa afya EAC & Kati
3. Kapu la chakula la afrika
4. Kitovu cha uchukuzi EAC & Kati
5. Kitovu cha nishati Afrika mashariki na kati.
Sayansi ni uthibitisho wa matokeo.