@Phbhimself Alichagua...Kwa ajili ya jua linalotua kwenye mlima, ukugu wa asubui juu ya Ziwa, na mwangaza wa nyota juu ya jangwa ๐๐ค daah hii nimesoma Kwa Hisia sana
Matumizi ya mitandao hayajawaacha nyuma watoto, Mradi wa Mitandao salama kwa watoto, unaotekelezwa na PDF kwa kushirikiana na @jengahub kwa ufadhili wa Childfund Korea, Katuni hii imetokana na kitini cha KUWA SALAMA MITANDAONI kilichoandaliwa na wizara ya @maendeleoyajami
Mwaka uliopita nilipata nafasi ya kufanya kazi na Taasisi ya ZAFAYCO,๐kuhusu Afya ya uzazi. utaweza kuona huduma zinazotolewa baada ya kuharibika kwa mimba. Ujumbe huu umeletwa kwenu na ZAFAYCO, kwa Hisani ya EngenderHealth,
#Moho14#AfterEffects#SRHR#SexualReproductiveHealth

BONGO FM IDent 90.0FM For Tanzania Broadcasting Corporation TBC ๐ My name is Pascal Venance am a 2D & 3D Animator, Motion Designer, UI/UX Designer ๐
.
.
#Cinema4D#AfterEffects#AdobePremiere#FmRadio#BongoFm