@MwananchiNews@mwigulunchemba1
Kuongeza kodi na ushuru hauta chochea kukua kwa uchumi, utaongeza makusanyo, lakini utadumaza uwezo wa wafanya biashara kukuza biashara zao, maana pesa nyingi itaenda kweny kodi na sii kuongeza mzunguko, kwa wanachi watadumaa pia ktokana na gharama kubwa
๐๐๐
๐ฅOyaa Juzi tumeleta AUDI A7 2011 3.0L TFSI Supercharged Sportback Model Hii Machine ni Balaa..
.
Top Speed inasoma 300Km/hr na inafikika vizuri kabisa cause Tumepiga test drive chuma ikafika 260Km/hr..
.
Nimekuwekea video hapo chini + hints muhimu kuhusu hii gari twende ๐..
NO BAD DAYS IN JUNE.
NO BAD DAYS IN JUNE.
NO BAD DAYS IN JUNE.
NO BAD DAYS IN JUNE.
NO BAD DAYS IN JUNE.
NO BAD DAYS IN JUNE.
NO BAD DAYS IN JUNE.
NO BAD DAYS IN JUNE.
NO BAD DAYS IN JUNE.
LORD PROTECT US!
3. Notice how she handles stress
Anybody can look sweet when life is easy. Stress reveals the real person fast. A strong woman handles pressure without dragging everyone into chaos.
She can pause before speaking and calm down before reacting. Peace under pressure matters more than charm under perfect conditions.
Marriage is built in hard seasons, not easy weekends. Stress response tells you the truth.
Mambo Ya Tunguu Bana Yani Kumekucha tu Gharama za Miundo Mbinu Ya Bandari hizi Hapa.
.
Picha limeanza Barua imetoka March 7 Jumamosi Wasabato wako Ibadani wamepumzika na kustarehe.
.
Halafu March 8 Jumapili yake Tozo ishaanza kukatwa kama upanga ukatao kuwili, mambo ya timing๐
Umezaliwa kati ya mwaka 1981-1996 ( Millennials)
Inasemekana hiki ni moja ya kizazi bora kabisa kuwahi kutokea
na huu ndio upekee ulionaoโฆ
1๏ธโฃ KIZAZI KILICHOONA NA KUIISHI DUNIA KABLA NA BAADA YA TEKNOLOJIA
Waliona dunia kabla ya internet, bila smartphones, halafu wakakutana na digital world wakiwa wakubwa.
Wanaelewa biashara biashara za zamani (physical, watu, mahusiano) na wanaelewa biashara za sasa (online, systems, scale).
Millennial mzuri anaweza kuuza Mtaani / Kariakoo na akiingia mtandaoni anafanya vizuri.
2๏ธโฃ NI KIZAZI CHA PROBLEM SOLVERS, SIO CHA KUFUATA MKUMBO
Millennials wameshuhudia soko la ajira likibadirika, degree zikishuka thamani jambo lililowalazimisha kufikiri tofauti, kubuni njia mbadala, na kuanzisha vitu bila mtaji mkubwa.
Ndiyo maana startups nyingi, biashara za mitandao, na freelancing zimeanzishwa na millennials
3๏ธโฃ WANA UBUNIFU UNAOKANGANYA AKILI + HISIA
Millennials hawauzi bidhaa tu, wanauza story, experience, brand; wanajua watu hununua kwa hisia na wanajua loyalty haitoki kwa bei pekee
revealed reason:
ndiyo maana wanangโara kwenye branding, content, marketing, na education business.
Sio kizazi cha kujichetua tu au kile cha kupuuzia mitandao kibiashara
4๏ธโฃ WANA UELEWA MKUBWA WA PESA KULIKO VIZAZI VILIVYOTANGULIA
Ingawa wengi hawana pesa nyingi bado, uelewa wao wa fedha ni mkubwa kuliko wazazi wao walivyokuwa umri huo.
wanajua uwekezaji, wanajua assets na wanajua passive income
5๏ธโฃ NI KIZAZI KINACHOPENDA UHURU KULIKO CHEO
Millennials wengi hawaguswi sana na title, wanaguzwa na freedom; wanataka muda wao, maamuzi yao, na pesa zaoโฆ
ndiyo sababu ujasiriamali, biashara mtandaoni na personal brands zinawavutia sana.
6๏ธโฃ WANA UWEZO MKUBWA WA KUJIFUNZA UPYA (RELEARN)
Millennials hawana kiburi cha kusema โHii sio taaluma yanguโ, wanaweza kubadilisha kazi, kujifunza skill mpya, na kuanza upya, jambo ambalo ni asset kubwa sana kwenye dunia ya sasa isiyo na uhakika.
Utaona wengi Kazi wanazofanya sio walizosomea shuleni ila wako vizuri
โฆ..
Sema niniโฆ..
Millennials tujipe maua Yetu aiseeโฆ ๐บ
Kuna yule mtu (Boss, Mteja, Donor, Kampuni, taasisi n.k) ambao walikuamini kwa mara ya kwanza ikawa, "Breakthrough" yako,
Katika chochote unachokifanya iwe, kazi, biashara, ajira, kipaji, mradi, elimu, ujuzi, n.k.
Mara nyingi hatuwataji sana tukiwa kileleni lakini usiwasahau.
Kijana mmoja alimuendea Padre wake na kumwambia;
Baba sitaenda tena kwenye Misa!
Padre akajibu na kumuuliza; Kwa nini?
Kijana huyo akajibu;
Nimemwona dada mmoja anayemsema vibaya dada mwingine; pia nimeona kaka kikundi cha waimbaji kinachoishi vibaya; watu ambao wakati wa Misa hutazama simu zao za mkononi, na miongoni mwa mambo mengine mengi mabaya ambayo naona yakiendelea kanisani.
Padre akamwambia;
Sawa, lakini kwanza nataka unifanyie jambo fulani; chukua glasi iliyojaa maji mpaka juu na uende kanisani kwa mizunguko mitatu bila kumwaga tone la maji sakafuni. Baada ya hapo unaweza kuondoka kanisani.
Na kijana huyo akasema mbona hiyo rahisi sana!
Na akafanya mizunguko mitatu kama Padre wake alivyomuomba. Alipomaliza alisema;
Tayari, Baba;
Na Padre akajibu na kumwambia;
Ulipokuwa unatembea, je, ulimwona dada huyo akimsema vibaya mwingine?
Kijana akajibu; Hapana
Je, umeona watu wakilalamika?
Kijana akajibu, Hapana
Je, umeona mtu yeyote akiangalia simu yake ya mkononi?
Kijana akajibu, Hapana
Je, unajua ni kwa nini? wewe ulizingatia kuumaliza mzunguko wako ili maji yasidondoke.
Vile vile na katika maisha yetu. Wakati lengo letu ni Bwana wetu Yesu Kristo, hatutakuwa na muda wa kuona makosa ya watu.
Yeyote anayeondoka kanisani kwa sababu ya watu ujue hakuja kwa ajili ya Yesu.