@TRATanzania Tangazo lenu la kazi halitumi email ya verification. Tatueni hilo jambo kwanza kuhusu huyo tapeli wapeni taarifa POLISI na TCRA washughulike naye
@mpambazi Hongera una product nzuri sana ila graphic design ya box la sabuni badilisha livutie zaidi. Mf maneno meusi hayatakiwi kuwa kwenye background ya color inayofifia. hayaonekani vizuri. Pia nakushauri tengeneza website itakayokuwa inaweka bidhaa zako ili iwe rahisi wateja kuona.
@bajabiri Hiyo ni kufuru huwezi sema Mungu hajafika wakati Mungu yupo sehem zote na wakati wote labda mseme wao ndio walishindwa kujua namna ya kuongea na Mungu