Professional Muhongo leo alikuwa anatoa hotuba kuhusu uchumi. GDP PER CAPITAL, Investment, Accumulation of Capital na Technology, wabunge walikuwa kmya kama wapo msibani, hata makofi hawapigi sababu ni hawaelewi vitu vigumu, ila sasa wakiwa wanaongea wao kwa wao makofii, 😄 🤣
VIDEO:
“Masuala ya ajira kusema ukweli, lazima tuambizane ukweli. Sio kwamba Wazanzibari tunabaguliwa katika ajira, ziko ajira hatuzitaki wenyewe na mimi nitatoa mfano; mimi na wengine wengi ukiambiwa kuna ajira ya hoteli mtoto wako wa kike awe waiter (mhudumu) tunasema oooh kuna vinywaji sijui anavalishwa kimini skirt hatutaki wenyewe, wanaokuwa hawana miiko nayo wanazichukua wanatumia fursa huku tunasema sisi ooh Wazanziibari hatupewi. Jamani ajira zipo na zinapatikana lakini baadhi ya ajira sisi wenyewe tunazichagua.”
Hayo yamesemwa na Mwakilishi wa Jimbo la Amani, Masoud Amour Masoud (CCM) akielezea masuala ya ajira na fursa za Muungano kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 18, 2026.
Nowadays if a player's agent sneezed, Fabrizio Romano will be there😭
How i miss the days when Wenger walked into press Conference with Spurs captain Sol Campbell & shocked journalists
Wayne Rooney alipoulizwa kuhusu mchezo wa Ureno dhidi ya DR Congo:
"Bruno wala Bernardo hawakumtengenezea Cristiano hata nafasi moja ya wazi ya kufunga katika mechi nzima. Isitoshe, hata wao wenyewe hawakufunga."
"Sielewi kwa nini watu wanataka Ronaldo akae benchi wakati hata hapati mipira ya kumuwezesha kufunga."
"Bruno alitarajiwa kuwa mchezaji bora wa Ureno katika Kombe hili la Dunia, hata akitajwa kuwa mmoja wa wanaowania Tuzo ya Golden Ball. Lakini alifanya nini hasa katika mechi hii? Kwa nini vyombo vya habari havimkosoi kwa viwango vilevile vinavyomkosoa Ronaldo?"
Tukumbushane tu, KUNGURU hata umjengee banda zuri vipi, umuwekee na mtama na maji , uweke na uzio kumlinda, Bado hatokuwa NJIWA,.. Ataacha vyote hivyo akatafute mizoga💔🙌...
Ndoa ya 70 hii anaomba tena taraka , kesho Boya mwingine anajitwika,. samaki wa urembo haliwi bro,.. 😂🤝.
🚨 Marc Cucurella: “The transfer to Real Madrid happened very fast. It took 36 hours. I was so happy!”.
“They called me in the morning and told me that the clubs had talked about everything, that if I wanted to go there. I had no doubt, it was a big step for my career”. 🫱🏻🫲🏼
🗣️ Samuel Eto'o: "Barcelona'da oynarken Pep Guardiola bana santrafor oynamayı ve nasıl hareket etmem gerektiğini öğretmeye çalışıyordu. Bir gün idmanı durdurdu ve tahtanın başına geçip bana taktik vermeye kalktı.
Ona döndüm ve 'Pep, sen hayatında bir kez bile forvet oynamadın. Ben bu pozisyonda dünyanın en iyisiyim, bana nasıl gol atacağımı öğretemezsin' diye bağırdım. Yüzüme baktı, tek kelime edemedi. Maç günü geldiğinde beni kanada çekti, Henry'yi merkeze koydu.
O gün anladım ki onun sisteminde egonuz ne kadar büyükse, sizi cezalandırma şekli de o kadar çiğ oluyor. Sezon sonu beni Inter'e takas ettirdi ama ertesi yıl Inter formasıyla onu Şampiyonlar Ligi'nden elediğimde yüzündeki o ifade her şeye değdi."
🚨 The rise of Myles Lewis-Skelly as a midfielder for Arsenal has seen Christian Nørgaard made available for transfer.
However, any return to Brøndby remains a long way off for the 32-year old.
The experienced midfielder is focused on making the most of his time at the Emirates and still has a contract running until 2027, with an option for a further year.
A move back to his boyhood club is viewed as a future possibility rather than an immediate plan. ⏳
(Source: Bold DK🇩🇰)
Katika uongozi wa sasa, viongozi wanaostahili kupewa kipaumbele na kuzingatiwa kwa karibu ni Mh. MTAKA (RC NJOMBE) na Mh. Ms. S. JUMAA (DED KILOLO) . Wameonyesha kiwango cha juu cha uwajibikaji, uwazi, na uwezo mkubwa wa kuhamasisha jamii kuelekea maendeleo 🤝.
FULL TIME ⏰
Pamba Jiji 4️⃣ ➖ 0️⃣ Mtibwa Sugar
⚽ Mathew Tegisi 18' 46' 49'
⚽️ Shaphan Siwa 44'
✅ Mathew Tegisi Momanyi 🇰🇪 ni mchezaji wa pili kufunga HAT TRICK katika NBC PL 🇹🇿 2025-26 baada ya Mossi Nduwumwe 🇧🇮 aliyefunga jana.
Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga, ameishauri Serikali kubana matumizi yasiyo ya lazima, hususan matumizi ya misafara mikubwa ya magari katika ziara za viongozi wa ngazi ya Mawaziri, akisema yanachangia kuongeza gharama zisizo na tija kwa taifa.
Akichangia mjadala wa Hotuba ya Mapitio ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Kiswaga alisema ipo haja ya Serikali kuangalia upya matumizi ya rasilimali ili kuelekeza zaidi fedha kwenye maendeleo.
Kiswaga alieleza kuwa ni vigumu kuelewa sababu ya msafara mkubwa wa magari unaofikia hadi 30 kwa ziara za Mawaziri mikoani, akisema hali hiyo ni mzigo kwa walipa kodi na haiakisi uhalisia wa ufanisi unaohitajika serikalini.
“Hakuna sababu ya kwenda kukagua miradi na magari 30, au Waziri kwenda kufanya ziara mkoani akiwa na msafara wa magari 30. Hii yote ni ufujaji wa fedha. Hatuna sababu ya kufanya hivyo,” alisema Kiswaga Bungeni.
Ameongeza kuwa Serikali inapaswa kuweka mkazo katika matumizi yenye tija na kuhakikisha kila shilingi inatumika kwa uangalifu, hasa katika kipindi ambacho wananchi wanahitaji huduma na miradi ya maendeleo kuharakishwa.
Mbunge huyo pia alisisitiza kuwa nidhamu ya matumizi ya fedha za umma ni muhimu ili kuhakikisha rasilimali za taifa zinaelekezwa katika maeneo ya kipaumbele kama afya, elimu na miundombinu badala ya matumizi ya kifahari au yasiyo ya lazima.
Mradi wa EACOP Wafikia 82.6%, Ukichochea Ajira na Ukuaji wa Uchumi
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania umefikia asilimia 82.6 ya utekelezaji wake. Mradi huu mkubwa wa kimkakati unatarajiwa kuimarisha rasilimali watu kupitia ajira, uhamishaji wa ujuzi na ushiriki wa wazawa katika shughuli za kiuchumi. Aidha, unatarajiwa kuchochea ukuaji wa uchumi endelevu kwa kuongeza uwekezaji, mapato ya Serikali na fursa za biashara katika maeneo yanayopitiwa na bomba hilo.
🗣️ Garry Neville: “The influence Arsenal players are having at this World Cup is incredible.
Just look at England’s latest performance: Noni Madueke wins the penalty that leads to Harry Kane’s opener, Declan Rice delivers the corner for another goal, and Bukayo Saka comes off the bench to set up Marcus Rashford and wrap up the victory.
When your players keep deciding matches on the biggest stage, it’s hard not to argue that Arsenal are among the very best teams in world football right now.” 🔴⚪️🏆
#HABARI Rais wa Kenya, William Ruto, amesema ameialika klabu ya Arsenal kutembelea Kenya mwaka ujao kufuatia shamrashamra kubwa zilizotokea baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Ruto alisema alifurahishwa na kiwango cha shangwe kilichoonyeshwa na mashabiki wa Arsenal nchini humo baada ya klabu hiyo kumaliza kusubiri taji kwa muda mrefu.
Akizungumza wakati wa Mkutano wa G7 nchini Ufaransa, Rais Ruto alisema alishangazwa na namna wananchi wa Nairobi na maeneo mengine walivyosherehekea mafanikio ya Arsenal.
Alieleza kuwa ameshafanya jitihada za kuwasiliana na viongozi wa klabu hiyo ili kuona uwezekano wa timu hiyo kutembelea Kenya katika siku za usoni.
Kenya inatajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye mashabiki wengi wa Arsenal barani Afrika, huku wafuasi wa timu hiyo wakifuatilia kwa karibu mechi zake kila msimu.
Ushindi wa Arsenal ulizua furaha kubwa nchini humo, ambapo mashabiki walijitokeza mitaani, kwenye sehemu za burudani na mitandao ya kijamii kuadhimisha mafanikio hayo ya kihistoria.
#EastAfricaTV