@TheMancab@ChaummaTanzania Labda nikuulize Lengo la chama cha siasa ni lipi? Nashangaa sana liondo wew mkristo mlokole kabisa unang'angania chama cha matusi nashangaa saba
Niko hapa sasa , matusi,fedheha,udhalilishaji na ubaguzi vikome sasa .
Nimeamua kuanza upya, na hakika nitafika niendako kwani Mwenyezi Mungu atakuwa upande wangu .
Tazama picha la kutisha,Mwenyekiti anavyofurahi ,ni ishara njema .
Today marks a new beginning. After deep reflection and unwavering belief in the future we deserve, I have made the decision to join Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
I remain committed to the people, to justice, to progress, and to building a nation where every voice counts.
The journey continues , with new strength, new allies, and the same purpose.
#NewChapter
#MsubhatiforChange
#ChaummaforChange
#LeadershipWithPurpose
Kwakua msajili ni ofisi ya umma na inapaswa kua safi muda wote na kutokana na jana ndugu @ExMayorUbungo ameongea maneno ya kuichafua ofisi ya msajili hivo basi niiombe ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kutoa ufafanuzi au kuchukua hatua stahiki ili ndug Bon aweze kutoa ushahidi
🔹 Salum Mwalimu – Katibu Mkuu CHAUMMA
🔹 Devotha Minja – Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara
🔹 Benson Kigaila – Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara
🔹 Mohammed Masoud Rashid – Naibu Katibu Mkuu Zanzibar