Dear @RioMeets
Are you aware that the illegitimate government that has invited you to Tanzania seized power on October 29, 2025, after killing more than ten thousand Tanzanians?
They have offered you money that is tainted with the blood of our brothers and sisters who were murdered. They believe that your presence in Tanzania would lend legitimacy to the atrocities they have committed against us.
If those who were killed were your own relatives and their blood had been shed, would you still accept this invitation from these killers?
#TanzaniaMassacre #TanzaniaIsBleeding #Mo29
MREJESHO WA KESI ZA WANACHAMA MAGU, BUKOBA NA ILEMELA:
Leo Mahakama ya Wilaya MAGU imeahirisha kusoma hukumu dhidi ya wanachama 7 wanaotuhumiwa kuchoma moto majengo ya umma hadi tarehe 6 Machi 2026.
KUTOKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI BUKOBA.
Leo pia mahakama imemwachia aliyekuwa maya wa Manispa ya Bukoba, Mhe Chief Kalumuna na wenzake 14 waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya jinai.
KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA ILEMELA:
Jana mahakama ya wilaya ikifika kesi ya Uhaini dhidi ya viongozi 5 wa kata ya Buswelu baada ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kudai Hana nia ya kuendelea na shitaka hilo. Viongozi hao bado wanakabiliwa na kosa lingine la wizi.
Tarehe 2, Machi kesi hiyo ya tuhuma za wizi itaendelea mahakama ya wilaya ya ilemela ambapo pia tunatarajiwa watuhumiwa watapata dhamana baada ya kosa la Uhaini lisilo na dhamana kufutwa.
๐ฅ OFA YA KIBABE! ENEO LINAUZWA KWA BEI YA OFA! ๐ฅ
๐ Eneo: Kashura Hill โ Bukoba
๐ Ukubwa: 1,311 SQM
๐ฐ Bei: Tsh 70,000,000/= TU
๐ Hati Miliki โ
@MarekaMalili@McinikaWaLamar
Asante kaka @HecheJohn ๐คฃ๐ฅ
Mambo ya ku clarify vitu vilivyo obvious mtu hatakiwi kuleta longolongo
Ila kwa kifupi wazushi kama jasusi pori na kichaa wa milembe wajiandae kulia maana mission accomplished ๐๐ฝ๐ฅ
Sasa imebaki #FreeTunduLissu na waache ujinga wa kusakama CHADEMA - washenzi waingie ulingoni kushindana kwa hoja!
Sisi wananchi tupo hapa na tutawasapoti wanasiasa wapambanaji - hatupangwingi!
#TutaelewanaTu
Leo nikasema nichape kilomita kadhaa kwa mguu hadi town. Sikutaka kabsa mishe za chuma.
Kidogo km kadhaa, Binti akafunga break kitu ni YZF-R6.
Binti:- "Bro lift"
Me:- "Ahsante"
Binti:- "Just for fun"
Nikaona nisikatae. Hizi ndio blessings.
Now ni 4hrs tupo LUGONO ๐ฅฉ ๐
Leo nikasema nichape kilomita kadhaa kwa mguu hadi town. Sikutaka kabsa mishe za chuma.
Kidogo km kadhaa, Binti akafunga break kitu ni YZF-R6.
Binti:- "Bro lift"
Me:- "Ahsante"
Binti:- "Just for fun"
Nikaona nisikatae. Hizi ndio blessings.
Now ni 4hrs tupo LUGONO ๐ฅฉ ๐
Jeneza Litamezwa na Ardhi
Malaika wameondoka na roho ya Jabali wametuachia mwili na majani yaliyokauka mbele ya jeneza,Malaika wametuachia pia huzuni kuu kwenye bonde la uhai sio kwamba wao ni viumbe wabaya,wameichukua roho ya Diego Jota Ili kutimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu nafsi kuonja umauti.
Macho ya malaika mbele ya jeneza yanatukumbusha milele hatutowezaย ย kuliona tabasamu la Diego Jota mbele ya goli,hatutoweza pia kuona hata kidogoย ย mwanga wa kipaji chakeย ย kwenye giza pale Anfield.Hili jeneza halijabeba tu mwili wa shujaa limebeba huzuni kuu ya mpira wa miguu.
Machozi yananitoka sio kwamba Diego Jota amefariki ni kwasababu leo ndio siku ambayo ardhi italimeza jeneza lake na udongo wa mwisho utawekwa juu ya kaburi kuashiria kipaji cha mpira kimefika mwisho wa kingo za uhai na rasmi jina lake litaingia kwenye vitabu vya kale vya wafu.
Only the dead have seen the end of war ๐ญ
@omarrkombo12
Heche ni high-caliber political intellect mwenye uwezo wa kusoma mazingira ya kisiasa kwa haraka na kuyatendea kazi kwa ustadi mkubwa. Ana mental resilience, hana woga jukwaani, na hoja zake huwa well-structured & people-centered. Huyu ni thought leader wa kizazi cha mabadiliko.
Rest In Peace @jenerali_victor_sherejey mwenyekiti mstaafu manispaa ya bukoba na Mjumbe mwenzangu wa kamati tendaji ya kanda ya victoria, ulikuwa ni mtu wa kazi, ulikipenda sana chama kipindi cha uhai wako, Mwenyezi Mungu akulaze mahali pema peponi.