Mazingira tulivu
β Usalama wa kutosha
β Eneo lenye maendeleo mazuri
π‘ Nyumba nzuri si gharama...
Ni uwekezaji wa maisha.
π Wasiliana nasi leo kupanga site visit:
0686428886
π² @steamgeneration_ltd
π Pugu β Kajiungeni, Dar es Salaam
π Ukubwa wa Eneo: SQM 424
π° Bei: Kuanzia TSh 70 Million
β¨ Sifa za Nyumba:
β’ Vyumba 3 vya kulala
β’ Chumba 1 Self-Contained
β’ Dining kubwa san
β’ Nyumba ya pembeni kwa wageni
β’ Fensi kuzunguka eneo lote
β’ Parking kubwa inayochukua magari
KIWANJA KINAUZWA UBUNGO - MAKOKA
π Kilometre 1.6 kutoka baruti
Kilometre 2.7 kutoka korogwe
π Hati Miliki (Title Deed)
π° Bei: TSh 55 Million
π Site Visit: Jumatatu β Jumapili
π Saa 10:00 Asubuhi β Saa 5:00 Jioni
0686428886
@steamgeneration_ltd
Kinachoendelea Kwa Sasa Kimeonesha Kabisa Kitazaa Matunda, Ndio Mana Hata Sophia Alipoijua Mipango Yote Alishtuka Kidogo
Akaenda Kuchukua Lile Yai
Pia Wanatakiwa Watu Wote Wajue Kuna Mzushi (a mole)
Kwasababu Kwanini Monsters Wote Waliijua Plan Yao Na Kukaa Milangoni
Baba wa mbinguni, asante kwa kunifikisha salama Jion huu. Naomba unipe nguvu mpya, hekima mpya na kibali kipya. Kila jambo nililoliweka mbele zako leo naomba ulifanikishe. Fungua milango ya baraka, linda hatua zangu na uniongoze katika maamuzi yangu yote.
Je, hii inaweza kuwa nyumba yako ijayo au uwekezaji wako bora?
π Wasiliana nasi sasa kwa maelezo na taratibu za mnada:
0655 088 052 | 0686 428 886
β‘ Fursa hazisubiri β jiandae kushiriki mnadani!
π¨π‘ FURSA YA KIPEKEE β NYUMBA ITAUZWA KWA NJIA YA MNADA! π‘π¨
Tarehe Juni 2026, usikose nafasi ya kumiliki nyumba bora iliyopo Mwinga β Mnung'una, Singida
β¨ Vyumba 4 (2 Master)
β¨ Sebule, Dining, Jiko & Store
β¨ Hati Miliki ipo
Hello @CRDBBankPlc kuna mfanyakazi wenu tawi la lumumba kariakoo anaitwa Miriam anakaa table 15 I think she's the best ever ana huduma nzuri sana please mpeni hata tuzo ya mfanyakazi bora wa mwezi she's the best