๐ FATHER'S DAY SPECIAL
Baba wengi hutafuta zawadi kwa familia zao. Lakini zawadi inayodumu zaidi ni kuwaacha na sehemu salama ya kuishi.
Father's Day hii, usijipe zawadi ya muda mfupi. Jipe mali itakayoongeza thamani kila mwaka
๐ 0686 428 886 ๐ฒ @steamgeneration_ltd
Lubasha anavyosifia(ga) ndoa humu utafikiri ni jambo la maana. Hakuna taasisi miyeyusho duniani kama ndoa. Ushauri wangu kwa vijana ni ule ule wa kila siku #KataaNdoa upate amani na furaha ya maisha.
Kuna kuangalia mpira, TBC, AZAM, DSTV halfu kuna kuangalia WC FOX CHANNEL, ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐
Wamerekani kila wanchofanya wanafanya kwa faida ya MLAJI ๐
Ukishapata unachotaka kwa KE huwaga huoni hata sms zake utakuja kuona ile ya "una dharau sana wewe mbona umenibluetick" mnashangaa wote hiyo text ni ya lini๐๐
Trust me, hata Samia ni chawa wa kundi dogo sana ambalo ndilo linaimiliki sisiyemu.
Hao kina Hapi ndiyo kabisa hawajui chochote kinachoendelea.
Nakumbuka kuna info moja niliwahi kusogezewa DM kwamba jinsi wananchi wanavyoulalamikia mfumo huku uraiani, ndivyo hivyo hivyo Samia analalamikiwa mfumo huko ndani.
Kuna post moja aliwahi kupost @mangekimambi akasema, issue si Samia, issue ni mfumo wa sisiyemu.
Habari njema ni kwamba huo mfumo upo tigirivyogo, hizi ni habari tunazozipata ndani ya mfumo wenyewe.
Kuna namna majamaa yamevurugana, na sababu ni hii kasi ya kuvunja Muungano. Guys, hili jambo la Muungano halijaja kama hoja tu Baraza la Wawakilishi.
Kama bahati mbaya, Samia ndiyo top ajenda yake hii, na ni mpumbavu tu anaweza kudhani Samia hana Uzanzibar.
Nachotaka kusema ni kwamba wakati huu mfumo unapoteana, sisi tupo karibu na ukombozi.
Tutoke kwa wingi sana 7/7. Hakuna kitu cha kuogopa. โ๐ฝ