@privaldinho Mzee fanya research kwa prvt scul now, prvt wamewekeza kwenye ujuzi na maarifa, Kuna shule saiv,wanabustani, garage, kushona, biashara kwa vitendo, juz Kuna clip imetrend mtt anaelezea injin ya gar, michezo ndo usiseme, muziki ILA shule za serikal hazina mfumo mzur wa wanaofel