@f1pirate@BillyTronix1 Wewe wauliza tu Hao wanaosema marekani ni best .
Kwann Irani aliishambulia kwa kutumia B2 ambazo ni stealth.
Hawakwenda na hizo helicopter zao ambazo walikuwa zinaruka anga la chini
@CollinsMorgreen@bonifacejoseph_@prossoff Inatagemea bajeti yake kama una 1m Bora ununue best midrange kuliko old flagship.
Ambayo inaweza kukufia kioo au mashine na haina warranty.
Hlf samsung haina warranty ya miaka 5 Bali ni 2 .
@CollinsMorgreen@bonifacejoseph_@prossoff Yap Ila asing'ang'anie kutumia old flagship za miaka ya 4 au 5 nyuma.
Asaivi kuna midrange phones nzuri kuliko hizo old flagship