Bilionea MNigeria Femi Otedola alipoulizwa kwenye interview, ya Simu na Mtangazaji wa Radio, "Sir ni kitu gani unachokumbuka kilichokufanya uwe na furaha maishani?"
Femi alijibu:
"Nimepitia hatua nne za furaha katika maisha yangu na mwishowe nilielewa maana ya furaha ya kweli."
Hatua ya Kwanza ilikuwa ni kutafuta Mali na kulimbikiza. Lakini katika hatua hii sikupata furaha niliyoihitaji.
Nikaingia hatua ya pili ya kujinunulia vitu vya thamani. Lakini niligundua kuwa vitu vyote hivi vinakupa furaha ya muda tu ambayo haidumu.
Nikaingia hatua ya tatu ya kufanya miradi mikubwa. Ni katika hatua hii nilikuwa ninasambaza 95% ya Diesel Nigeria yote na Africa Kwa ujumla. Pia nilikuwa mmiliki mkubwa wa Vessel Africa na Asia. Lakini pia hapa sikupata furaha niliyokuwa nimeifikiria.
Hatua ya nne ilikuwa ni kipindi ambacho Rafiki aliniomba kununua Wheelchairs Kwa ajili ya watoto walemavu. Walikuwa kama watoto 200 hivi.
Baada ya kuombwa na rafiki yangu nilinunua Wheelchairs 200 mara moja.
Lakini pia aliniomba niambatane naye ili nikawakabidhi watoto zile wheelchairs. Nilijiandaa nikaambatana naye.
Nikawagawia zile wheel chairs Kwa mikono yangu mwenyewe. Niliona furaha ikitawala kwenye nyuso za hawa watoto. Nikawaona wamekaa kwenye wheelchairs, wakizunguka na kufurahia.
Ilikuwa ni kama wako Picnic wakisherehekea ushindi wa bahati nasibu.
NiIihisi furaha ya kweli ndani yangu. Nilipotaka kuondoka mtoto mmoja alinishika miguu yangu. Nilijaribu kujinasua taratibu lakini alinikazia macho akinitazama usoni.
Niliinama chini nikamuuliza, kuna kitu kingine unahitaji?
Jibu alilolitoa mtoto huyu sio tu kwamba lilinipa furaha bali pia lilinifanya nibadili kabisa mtazamo wangu juu ya maisha. Mtoto huyu alisema:
*"Ninakuangalia ili niikumbuke Sura yako, siku nikikukuta mbinguni niweze kukutambua na kukushukuru tena."*
Je Wewe mwenzangu, utakumbukwa Kwa lipi utakapoondoka kwenye hiyo Kampuni, Ofisi, Biashara, Kazini au mahali unapoishi?
Je kuna Mtu atatamani kuuona uso wako tena siku za usoni?.👇
..Pia kama bado sija ku ADD kwenye group la "ELIMIKA WHATSAPP" basi nitumie meseji apa, tujumuike wote...👇
https://t.co/4qv5w2oXtp
Basi nita ku ADD ni free tunashare mambo ya muhimu tu kujifunza🙏
Chama Cha Madaktari kimepokea kwa masikitiko taarifa ya vifo 13, wawili kati yao wakiwa ni Madaktari Dkt. Godfrey Chillya & Dkt. Mirumbe Winani vilivyotokana ajali iliyohusisha Basi la Abiria na Treni leo eneo la Manyoni mkoani Singida
Chama kinatoa pole kwa familia na majerehi.
Kuanzia msimu wa 2024, elimu yetu itakua katika mfumo huu.
1. Elimu ya lazima ni miaka 10 kwa maana ya miaka 6 primary na miaka 4 sekondari
2. Wanafunzi waliopo darasa la pili sasa hawatasoma elimu ya msingi kwa miaka 7 watasoma kwa miaka 6 tu na kumaliza.
3. Kutakua na masomo 11 katika elimu ya msingi ikiwemo lugha za kichina na kifaransa.
4. Masomo ya elimu ya jumla yameunganishwa na masomo ya VETA ili kuwa na syllabus ambayo ni hybrid ya ufundi na theory.
5. Masomo la biashara, ujasiriamali na TEHAMA ni masomo ya lazima kuanzia kidato cha kwanza.
6. Mfumo utatumia dual system kama Germany/Finland ambapo mwanafunzi akiwa kidato cha 1 atakua na michepuo miwili ya lazima. Mmoja wa elimu ya kawaida mwingine wa elimu ya amari (Ufundi, Sanaa, Mpira, Upishi, Urembo etc)
7. Mwanafunzi akimaliza form Four anapata vyeti viwili cha NECTA na kile cha VETA kutokana na Fani aloisoma kuanzia kidato cha kwnza hadi nne
Hii ndo maana ya #MamaYukoKazini sasa.
Dear Rabbit lovers,
📢In response to your request, here is what you need to know if you want to start a successful rabbitry 🐇farming business!📝
⚠This guide should not replace the farmer's effort to seek more guidance and ask more questions.
#Thread 🐇🐰👇👇1/10