Faith, belief or trust don’t mean the absence of doubt. You have faith, belief or trust in something, or in someone, because you don’t have sufficient doubts about them.
Habari za muda huu mdau wetu. Karibu jukwani tujuzane Unafahamu nini kuhusu matumizi ya alama na michoro ya barabarani? Mimi ni @GjAssenga kutoka #Ajalisasabasi kampeni. Karibu #ElimikaWikiendi tushirikishane machache kuhusu mada ya leo.
Watuamiaji wa Barabara kuu kutoka Dar es salam-Mbeya wakumbwa na bumbuwazi baada ya kukwama njiani kwa muda wa zaidi ya saa moja na nusu kutokana ajali ilihusisha magari mawili ya mizigo kugongana na kuwaka na kuteketea kwa moto
@safiri_salama#ajalisasabasi@TAMWA_@UNRSC
Takribani Dakika zaidi ya 40 wasafiri wa mikoani wamekwama katika eneo la Vigwaza mkoa wa Pwani kutokana na kinachelezwa kuwa ni ajali hali ambayo bado inawapa maswali wasafiri na watumiaji wa barabara kuu ya Dar es salam-Mbeya.
#safiri_salama#tamwa_#ajalisasabasi
Zaidi ya nusu ya vifo vya ajali barabarani ni Watembea kwa Miguu, Waendesha Baiskeli na Pikipiki. Kuna kila sababu ya serikali kupitisha maboresho ya sheria ya usalama barabarani ya mwaka 1973 kunusuru makundi haya.
#RoadSafety#Ajalisasabasi
3. Juhudi za pamoja zinahitajika kukuza fursa za ajira na kuajiri kwa vijana
4. Mazingira wezeshi ya kisera na kisheria yanahitajika
5. Elimu ya Ujasiriamali inahitajika zaidi.
#KaziBoraKwaVijana@ActionAidT
Asilimia 93% ya ajali za barabarani duniani hutoka nchi zenye kipato cha chini na kati #Tanzania ikiwemo. Maboresho ya sheria yetu ya usalama barabarani ya mwaka 1973 yatasaidia kudhibiti idadi ya ajali na vifo.
#Ajalisasabasi
Imeelezwa watu wanaoendesha baiskeli wapo katika kundi la usalama zaidi kutopata ajali kwa kiwango kikubwa ambapo ni asilimia 4% tu ndiyo hupata ajali.
#ajalisasabasi@kangilugola@safiri_salama@tamwa