@Dr_DGwajima Mheshimiwa, safari njema! ๐ Lakini tafadhali, usirudi mikono mitupuโฆ urudi na zawadi ya Laptop moja tu kwa kijana wako ninayejituma kama graphics Designer๐จ๐ฅ
Msaada wako unaweza kuwa tiketi ya mafanikio yangu pia kazi zako za graphics nitazifanya kama kulipa shukran