@HDMwaim Ila binadamu ...asimgeuzwa mngesema yanga inawabania vijana. Sasa yanga imetoa fursa kijana kuendelea na maisha nje mnaawalau. Hivi mna nini nyie?
Mnasema England angecheza hivi dhidi ya Argentina .... sasa kama uwezo wao ndio uliishia pale je ? Pengine wakicheza with nothing to lose ndio wanakuwa hivi wamoto je ?
Au ule msako wa Argentina mnaona ulikuwa mdogo ?😀😀
@Njoroge761@chapanombombwi Debe moja sawa na kilo 20 kadirio la juu, sasa unashangaa nini kuwa debe 4 wakati umeshasema kuwa ni kilo 70 -75 sasa utofauti uko wapi hapo. Hiyo kilo tano?
@Happinesmlay Happy natamani sana hizi jeans ila kinachoniogopesha ni wasiwasi wa kupata kitu tofauti. Sijawahi kupata kitu sawa na nilichochagua kutoka mtandaoni.