@barakawamb Nyie huko wote ni majizi leo hii mwenzenu kawageuka mnamnyooshea vidole kweli mbogamboga ni hamnazo mbona kipindi hicho hamkuwahi kupanua midomo na kusema haya
@justyfromNorth@AnnaTibaijuka Vijana wa mbogamboga mmekua wapumbavu kupindukia kama unachosema ni kweli kwann usikimbilie mahakamani au mbona kipindi hicho hamkuwahi kuwataja?
" Nimemuuliza swali Mheshimiwa Nasra Mohamed, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam kuwa anahisi wanashindana na CHADEMA ama Raia tu? " FKihamu
Simple Modality ya uchaguzi-;
RAIA MMEICHOKA XXMU~~> RE- π
RAIA TUNAITAKA XXMU~~> LIKES- π
RAIA WA KOKOTE TUPO ~~> BOOKπ