Trh 22/02/2024__Hapo Jana Ndoa imekamilika Kati ya Haruna Salehe (DRIVER) na Mwanadada Maryam (Nana) (Bus Hostess)_Na mola awajaalie kila La Kheri Katika maisha Mapya yao😘😘
HARUNA mnamjua alipokua na IMAN PLUS/MAJINJAH CUW MR MPANDA/KISESA DXK/MOHSAL G7👣
LIFE GOES ON....👨❤️👨
Napokea order za kofia, Barret, pamoja na T-shirt za ALL ABOUT BUSES TANZANIA
Kama unahitaji nicheck what'sap 0766150901
Vaa Pendeza na ALL ABOUT BUSES TANZANIA 📍