@HecheJohn@CatherineRuge Tz inapotezwa na viongozi maruba. Watu wenye tamaa ya kupata na wakipata hawana muda wa kutengeneza mazingira rasmi ya kizazi kijacho kupata. Hili ni tatizo kubwa sana ktk taifa LA uchumi wa kati. Binafsi ningetamani watu kama Spika wazungumze kwa vitendo.
@MariaSTsehai@IAMartin_ Ndugai kuendelea kuwasemea wabunge wa Cdm na kuwakingia kifua kunaleta taswira ya hovyo sana kwa serikali. Nadhani busara ni kukubali kuwa Cdm imesimamia katiba na utaratibu wa chama. Sasa hii ukandamizaji!!!! Hivi spika anakumbuka alivyowafanyia hawa wamama kweli!?