👩🔬 Are you a Principal Investigator undertaking genomic surveillance of #malaria with data from endemic countries?
The @malariagenomics Procurement Grant can help you cover the costs of equipment and specialist reagents and consumables.
Apply 👉 https://t.co/6kBCpM7VIQ
@SallahS90578521@ummymwalimu Ushoga kwa kipindi Cha nyuma ulikua kwenye magonjwa ya kili ila kwa sasa ulishatolewa sio ugonjwa wa akili Tena (wizara za afya za mataifa mbalimbali haziutambui ushoga kama ugonjwa)
#WHO Tanzania and @UNICEFTanzania representatives accompanied the minister of health, @ummymwalimu to the epicenter of #Marburg outbreak in Kagera region.
Encouraged to see in action health care workers that we & partners supported to train in response to health emergencies.
Have been following closely the #MarburgVirus outbreak in #Kagera. I want to commend the response by @ummymwalimu and @wizara_afyatz and applaud the bravery of the many healthcare workers & experts who are working to contain the outbreak and protect the community. #ZuiaMarburg
Waziri @ummymwalimu ameendelea kutoa rai kwa wananchi kufuata maelekezo ya Serikali ya kujikinga na ugonjwa huu kwa kuepuka kushikana mikono hususan kipindi hiki lakini pia kujitahidi kunawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni.
Arboviral diseases are causing growing concern in the Americas as chikungunya and dengue fever spread to regions that have never seen them before.
The Americas has seen a surge in dengue cases in recent years, @WHO said
https://t.co/hcoTFS3byF
🦠Drug-resistant pathogens🦠 are a global threat to animals, humans, plants & the environment.
When #antimicrobials 💉are used responsibly, we can make sure they remain effective for all.
#OneHealth#ResistAMR
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Kiongozi wetu Shupvu Mhe. @ummymwalimu. Mwenyezi Mungu akujalie Afya njema na kuendelea kutuongoza vyema Sekta ya Afya nchini🇹🇿
Basic surgical skill course at Nkinga hospital, Interns and Registrars receives capacity building.. goals is to ensure safety, improve quality and inspire future Surgeons...@cosecsa@NetcareT and @KilimanjaroChr2 @GlobalUct@ummymwalimu@wizara_afyatz
@nhiftz@wizara_afyatz @cloudstv @ummymwalimu Alaf napewa mtanzania asain bila kuambiwa mchanganuo wa kilichofanyika na gharama zake, kwa hiyo hata wakiandika 500k wakati alipimwa malaria huyu mtu atasain tu.
Ingependeza kama wizara na mfuko ungewashirikisha wananchi katika kuulinda na vigezo vya mtu ki sain asipelekeshwe tu
@nhiftz@wizara_afyatz @cloudstv Nimeona taarifa nyingi za mfukonwa bima, nikiwa kama mtumiaji kitu nilichokiona ni kwamba mtanzania anaenda kupokea huduma mahali flani akifika anafanyiwa checkup na huduma zote ambazo labda zinagharimu elfu ishirini tu ila kituo kinaandika 70000 @ummymwalimu
New delivery magazine in town,
Wherever you're,
Easily accessible,
Interesting,
Above all ina madini MEDICAL mpaka sio poa.
I would recommend usome Vol 5
“Sasa tunaelekea kufanya Awamu ya tatu ya Kampeni ya kutoa chanjo ya matone ya Polio ambayo itaanza terehe 1 hadi 4 Septemba, 2022 na zoezi hili litakuwa nchi nzima na tunalenga kuwafikia watoto 12,386,854 walio chini ya umri wa miaka mitano” @ummymwalimu