@Aloycemsaki@Ugeniaconso Kuliko kukopa ndo ukaanze biashara bora aliyekopa akajenga walau atabakiwa na nyumba baada ya hela kuisha. Kopa endeleza biashara siyo kuanzisha UTALIA
@Rynhairly1 Hizo ni controls za kawaida kabisa sema wengi hawaelewi. Nenda kwenye ATM kuna limit, kwenye computer wanaita DoS, isijekuwa unataka kununua yote ili aonekane hana mayai. Next time ukifika mpe taarifa
@EmanuelYohana API Call ikifanyika mteja ukapokea response, ile response inakuwa kati ya end-user na app yake. Sasa huo mtandao hapo katikati utajuaje kama response uliyopokea ni positive au negative?
@idodoe2 Atakayeweka 0 manake hiyo ndo thamani yake, he/she got nothing to offer than receiving from you! Lakini kwako wameapply watu wenye akili zao, wengine wana uwezo kuliko wewe mwenyewe, Sema unawadharau ndo maana unataka uwatumie bure. HUWAPATI