@malodaYGM@fbuyobe Telegrama amekusanya pesa alafu akasepa....hata ile group chat aliifuta kuogopa kuulizwa na members...ni kati ya wakosoaji ambao hawapendi kukosolewa.
@fbuyobe Ukiachana na chuo cha St. Joseph kinachofuatilia mahudhurio ya wanafunzi kwenye lecture, sehem kubwa ya vyuo(hasa vya serikali) wanafunzi wanasoma kwa kuja kufanya mitihani tu..Na the worst case ipo kwa hawa waajiriwa wanaokuja kujiendelea kwa jina maarufu "In service"
@pius_asteri@kinyamaswa@fbuyobe Huko vyuoni hakuna watumishi wa serikali na private sector ambao wanajiendeleza kimasomo?..au kuwa mwanafunzi kunaondoa uhalali wa ajira ya mtu?