Nimeongea na Mama yake Damour Nyakairo almaarufu @Ninja_Damour amenithibitishia ni Kweli Damour alifatwa nyumbani kwao na kuchukuliwa na watu wasiofahamika. Wamemuangalia vituo vya Polisi karibu wamemkosa.
Hii ndio taarifa niliyonayo kwa sasa.
There’s nothing more attractive than a man who works harder than he talks and prays more than he worries. Witnessing that drive firsthand is a different kind of blessing 😌🙏🏾
Kuna haja ya kupitia upya usanifu wa nje katika majengo ya umma kama hospitali zetu. Badala ya kuishia kwenye urembo wa maua pekee, tunaweza kuongeza tija kwa kupanda bustani za mbogamboga au matunda zinazoweza kusaidia lishe na afya za wagonjwa na watumishi.
Mfinanga ni kweli kuna shida ya umeme huko lakini vilevile hatuwezi kupuuza suala la wewe kutumia tweet hiyo kimkakati kuvua maeneo ya Lindi nk. Tunafuatilia kwa karibu sana!
Tatizo la foleni Daslama linaloisumbua nchi for years na kusababisha madhara kwenye uchumi wa Taifa limewekewa 10M kwa atakayekuja na wazo la kumaliza. Halafu 10M hiyo hiyo tunalipa kwa goli moja linalofungwa uwanjani kwa timu isiyochangia chochote kwenye GDP. Unawaza kama mimi?
Always tunasema huyu mtu ni mshamba na mjinga. Serikali haijawahi kununua Bentleys wala Maybachs kwa ajili ya Mawaziri…Why usiyatumie kwa matumizi binafsi mpaka uweke Namba za Serikali?
NB: Huwezi kutuvimbia na hela za UFISADI,na wala wewe sio Daimondi. MATAKO YAKO!😎
Oya kila mtu kaona Trela la BBC EYE, ninachoweza kusema wanangu msikose kuangalia hiyo RIPOTI maana NCHI ITASIMAMA.
INATOKA SIKU YA JUMATATU, ITAPANDISHWA KWENYE PLATFORM ZOTE ZA BBC DUNIANI.
Mamaeeeee zenu kuna watu wameuliwa ndugu zao mpaka leo hawajapata miili tu ili wazike na mko hapa mnapush # ya mtu aliyeweka kibao kata kipindi cha majonzi?
Msikae mpate Amani mioyoni mwenu🚮
Unauwa maelfu ya watoto wa hili taifa alafu kwa jeuri unauliza wazazi kwanini hawakuwazuia kuandamana.. hiki ni kiburi cha mtu mjinga asiye na chembe ya utu.
Samia Must Go Now!!
Oyaaaaaaa wakimaliza kuuza akiba yetu ya dhahabu nasikia wataanza kutuuza watu Wanene.
Vibonge wote nawapa hii code,kaeni kimasta sana,lolote linaweza kuwakuta.
Kama unajijua ni Kibonge usitembee ovyo usiku.Vibonge wanahitajika sana huko uarabuni kama Wapishi.
Hiyo move ya kuuza dhahabu hiyo pesa itaenda kutafunwa tu!!
Aliesema kuna siku hii nchi itauzwa yote hakukoseaga……Red flags ndio hizo!!
Na kwa bunge hili la familia moja, hakuna pale wa kuishauri wala kuisimamia serikali, kila mtu anaangalia maslahi yake binafsi!!