Naombeni hizo Retweets jamani😀😀
Mzigo wa mitandio ulioingia safari hii ni 🔥
Jumla nauza kwa 6500 tu
Reja reja nauza kwa 8,000 tu
Delivery ipo na mikoani natuma
DM au 📞0788110961
Ukipenda picha zaid na za baibui mzigo mpya angalia instagram
https://t.co/xlOmYccp6b
@mnyongesana @FumboKhan2019 @mshambuliaji@kanzupoint@ccm_tanzania Ni jirani zetu wazuri tu km imethibitika umeoneka Rwanda mm kesho nakula IDD lkn km Rwanda wanafata uarabuni ambapo sio jirani zao basi acha kesho niamke na swaum 😂🤣
@RahimMalembo @FumboKhan2019 @mshambuliaji@kanzupoint Tunafuata muandamo wa mwezi ,ama kwa jirani zetu ama akathibitika mtu kuuona kwa taratibu na sheria .
@FumboKhan2019 @RahimMalembo@mshambuliaji@kanzupoint Km umesoma vizuri ktk Hadithi za Mtume (S.A.W) basi hili kalizungumzia naomba ufatilie ,kisha kuhusu bakwata inawezekana hayo usemayo .
@FumboKhan2019 @RahimMalembo@mshambuliaji@kanzupoint Hilo ndo la kujadili kuwa km mwezi umeandama burundi ama uganda basi tunapaswa kujiuliza why ?lkn km wao burundi na Uganda wameskia umeandama uarabuni basi nao watakuwa ni wale walioanza kufunga mapema😂🤣
@RahimMalembo @FumboKhan2019 @mshambuliaji@kanzupoint Tatizo sio mji wa Makkah tatizo je Makkah ni jirani na Tanzania hata km masaa yanakwenda sawa ili tufuate kilicho andikwa tufungue kwa kufata mwezi wa sehemu tulipo ama jirani zetu ,ila km umeandama Uganda na Tanzania tunaambiwa haujaandama hili ndo la kujadili.