@Advocate_Jebra Tangu ile siku ya hukumu sijaheal...njia anayopita Lissu ni wito na imani at the highest peak. Hakika mbegu ameipanda..! Najua ipo njia...ipo namna.
@zoetjesheeftX Anyways serikali makini hubuni njia za mapato ambazo hazimkandamizi mwananchi, stand ni huduma ya kijamii haipaswi hata kulipia. Ila fikra za kimasikini sijui lini zitatutoka. Unawaza kipumbavu mno..
@YerickoNyerereT Kwahiyo wewe unajua kinachoendelea Zambia kuliko Mundubile? Unafikiri kila sehem watu wanaishi kwa uongo kama kwenu? We kitobo punguza shobo, we endeleza kuwa toilet pepa la maccm.
Huna chochote unachoweza kushauri, wakiitwa machawa ndo ujitokeze.
@bonifacejoseph_ Yaani unamzungumzia the last human being to win the ballondor before majini Ronaldo na Messi kama vile unamzungumzia ditram nchimbi. Kijana kabla hujaandika fanya researc kama mchzaji hukumshuhudia. Kaka is far better than xavi+iniesta combined in his prime.
@godbless_lema Unataka kusemaje bwana Godii? Kwamba taarifa ya kamati kuu iliyosomwa na Mnyika ni ya kichawa au? Nyoosha maelezo tuelewe adhma yako. Hatutaki mafumbo
@Thommunkondya Mradi wa tirioni 46+ na bado unaweka siasa bro? Sisi wenye bajeti ya tirioni 60 isiyotekelezeka. Sisi wenye miradi mikubwa tumetekeleza, sisi ambao hata miradi ya ndani wakandarasi wanadai malipo tangu 2023 mpaka leo. Unaweza kuongea kiccm namna hii, acting like nothing happened
@ChademaTZ2 Huu ujinga wa kuwapokea wasaliti kama mashujaa sio waku entertain. Hawa wapokelewe na tawi tu, sio kwenye mkutano wa watu wenye hasira na maccm...
@mangekimambi Kwa kweli tumemfelisha sana Mzee Tundu. Chadema ina watu wengi nchini miaka yote na wako loyal to tge party. Wala hawahitaji uhalali wa nyomi la mikutano kujua ukweli huu. Kila mtanzania mwenye akili timamu anajua uonezi wa ccm, nguvu ya kumpambania mwenyekiti haitoshi. Betrayal.