what we do
01.Mental Health issues 02.Environmental issues
03.Human right defenders and
04. saving people with disabilities specifically children and youth.
"Kauli ni ufunguo wa heri au shari, fursa au kikwazo, huruma au husuda, tuzo au adhabu, kuheshimiwa au kudharauliwa. Linda kauli kwa wivu mkubwa." ~Togolani Mavura.
"Thank you @TunawezaOrg for inviting Akili Platform Tanzania to the EAC Youth Policy Symposium in Dodoma. Our 6 youth representatives gained valuable insights and connections. Together, we are building a stronger future for East African youth @SuluhuSamia@AYCommission
We can transform lives of young people if we prioritize mental well-being and climate change Prevention from families 👪 we are deeply ready to work with East African Community and other stakeholders
Katika misitu, iliopo katikati ya nchi ya Congo 🇨🇩ambayo wakati huo ilikuwa chini ya ukoloni wa Kibelgiji, karibu mwaka wa 1883, kuna kijana alizaliwa
Jina lake lilikuwa Ota Benga, mtoto wa kabila la Mbuti, watu wanaojulikana kama “Wapigme” , moja ya jamii ya watu wafupi
Misituni ndio ilikuwa mahali pake —mazingira ya kijani kibichi yaliyojaa wanyama, mito, na sauti za ndege waliokuwa wakilia kila asubuhi.
Ota alikulia katika jamii ya wawindaji na wakusanyaji, ambapo maisha yalikuwa magumu lakini yalijaa umoja na heshima kwa asili.
Alikuwa na familia—mke na watoto wawili—na kama wanaume wengi wa Mbuti, alikuwa mwindaji stadi, mwenye ujuzi wa kutumia upinde na mishale kwa usahihi wa ajabu.
Lakini amani ya msituni haikudumu. Wakati huu, Kongo ilikuwa chini ya utawala wa mfalme Leopold II wa Ubelgiji,
Katikati ya miaka ya 1880, Mfalme Leopold II wa Ubelgiji alichukua udhibiti wa Kongo baada ya Mkutano wa Berlin wa 1885, akiifanya kuwa “Congo Free State”
Leopold alitumia jeshi lake binafsi, Force Publique, kulazimisha watu wa Kongo kufanya kazi za kulazimishwa katika migodi ya almasi, uchukuzi wa pembe za ndovu, na uchukuzi wa mpira.
Maelfu waliuawa, wengi walikatwa viungo, na vijiji vilichomwa moto.
Siku moja, Ota alipokuwa mbali akiwinda tembo, Force Publique ilivamia kijiji chake. Aliporudi, alikuta giza la kifo—mke wake na watoto wake waliokuwa wameuawa, kijiji chake kilikuwa majivu, na maisha yake ya zamani yalikuwa yameharibiwa kabisa.
Akiwa peke yake na amechanganyikiwa, Ota alichukuliwa na wafanyabiashara wa watumwa wa kabila pinzani, “Bashilele,” walimgeuza kama mali ya kuuzwa.
Macho ya mji mzima yaligeukia upande wa wake, kila mtu alizungumza kuhusu yeye.
Lakini kwa isvyobahati haikuwa kwa upendo wala haki, bali kwa chuki iliyofichwa nyuma ya maneno ya “sheria.”
Huyu ni George Stinney Jr, Kijana mdogo aliopita kwenye historia ambayo hakuna mtu anaweza kukubali mtu wa karibu kupita.
Polisi walimchukua kutoka nyumbani kwao, huku mikono yake midogo ikifungwa pingu, na sauti yake ikapotea katika kilio cha mama yake kilichozimwa na uwoga.
Hapakuwa na mtu wa kumsikiliza, hapakuwa na mtu wa kusimama nae, zaidi ya wazazi wake tu ambao hawakuwa na sauti yoyote
Chini ya uzito wa dunia isiyo na huruma sauti ya George ikapotea kwa njia ya kikatili kwa kunyongwa na kiti cha umeme wenyewe volts 5380 na zaidi
George Stinney Jr. limeandikwa kwa damu na machozi.
Alikuwa kijana mdogo wa Kiafrika-Amerika aliyekuwa na ndoto—lakini dunia ilimgeuka, na jamii yenye chuki ilimgeuza kuwa kafara wa mfumo uliojaa ubaguzi
Thread 🧵 👇🏾
Our continent is facing several challenges, including deficits in domestic health financing and the dual burden of communicable and non-communicable diseases. To ease this burden, I will encourage innovative domestic resource mobilization for health financing and pooled procurement of health commodities to reduce costs. As Africa scales up local manufacturing of health commodities, we can work together to build a healthier Africa!
#WHO
#WHOAFRO
#JANABI4WHOAFRO
08. Hii ni picha ya kweli ya kuhuzunisha kutoka India wakati wa njaa kali ya Madras mwaka 1877. Inaonyesha mwanaume mmoja akiwalinda mke wake na watoto dhidi ya watu waliokuwa wamegeuka wala watu (Cannibals) kwa sababu ya njaa kupita kiasi.
Njaa hii iliua mamilioni ya watu, wengi wao wakiwa masikini wasio na msaada.
Picha hii inaonesha hali ngumu ya maisha, mateso ya njaa, na jinsi familia zilivyopambana kuokoa maisha yao katika kipindi kigumu kupita maelezo.
07. Hii ni picha ya mwaka 1907 inayoonyesha baharia wa Kiingereza akimfungua minyororo mwanamume aliyekuwa mtumwa na amefungwa kwa zaidi ya miaka mitatu.
Picha hii ilipigwa na Joseph Chidwick, mmoja wa wafanyakazi wa meli ya kifalme ya HMS Sphinx.
Ni kumbukumbu ya nyakati za utumwa na jinsi baadhi ya watu walivyopata ukombozi baada ya mateso ya muda mrefu. Inagusa moyo na kutufundisha thamani ya uhuru na utu wa binadamu.
Prof. Janabi's passion for public health was shaped by his childhood in TZ, where he survived multiple malaria episodes, including a near-fatal case. This experience inspired his lifelong commitment to fighting infectious diseases and improving healthcare systems.
@moddyyakubu
What's needed to build peaceful & stable rural communities?
✅ resilient rural producers
✅ strong rural economies
✅ income opportunities
✅ food security
✅ access to tools, resources and finance
Investing in rural people means investing in a more peaceful world.
Habari vijana wa afrika mashariki,
Leo tutajadili Sera ya Vijana ya Jumuiya ya Afrika Mashariki huku tukipata maarifa kutoka kwa wenzetu kutoka #Tanzania🇹🇿 na #Kenya🇰🇪. Usikose hii leo saa 20h00 kwa saa za Afrika Mashariki.
@mo_build@jesamhaggaimwak@JaMoneyx@NLutakubwa
@EAC_yap@EAC_yap Binafsi nawapongeza kwa kuandaa hii space tena kwa kutumia lugha safi ya kiswahili naitwa Mr Roghat Robert Mkurugenzi wa Shirika la Akili Platform Tanzania 0626 551 859 WhatsApp wadau wa afya ya akili na Mazingira tupo pamoja